Habari wanajf.
Najihisi kuwa na furaha na amani tele.Nimejikuta ninaOVERCONFIDENCE hatari mbaya kabisa😀😀😀.
Sielewi ni kwanini ila nametokea kuwa mpenzi wa makala na maandiko ya wanafalsafa wale...
Wazazi wengi hujitahidi usiku na mchana kutafuta mali ili kuwawekea watoto wao maisha mazuri ya baadaye. Hilo ni jambo jema, lakini kuna urithi wenye thamani zaidi kuliko nyumba, ardhi, gari au...
Hivi kuna jambo linaloumiza! moyo akili hisia na linalochanganya akili ya mtu kupita kifo yani kufiwa na ndugu yako wa karibu dada yako kaka baba au mama n.k kuna jambo janga lenye maumivu kupita...
Kitabu cha Enoki (The Book of Enoch) ni maandiko ya kale ya kidini ya Kiyahudi yanayohusishwa na Enoki, ambaye alikuwa babu wa Noa. Ingawa si sehemu ya maandiko rasmi kwa dini nyingi za Kiyahudi...
Nipo viwanja vya sabasaba hapa Dar,polisi wametanda wengi sana nje na magari yao na majibwa ndani 95% nawaona ni wahudumu tu ,kupita getini unapekuliwa sana hasa ukiwa kijana kama mm sema mimi...
Mwenyekiti wa Kata ya Buyombe, Wilaya ya Ilemela, Mkoa wa Mwanza anauza maeneo ya wazi (open space) kinyemela, yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya shughuli za Kiserikali.
Anaharibu ramani ya...
SIRI🤐
Ukisikia neno siri unaelewa nini?
Kila mtu ana siri zake asizopenda zifahamike hadharani
Zinaweza kuwa siri nzuri au siri mbaya
Utasikia mtu akisema, Mimi siri zangu nitakufa nazo...
Naangalia hapa... Watu hamna. Kiukweli kumedoda sana. Barabarani naambiwa wamejaa askari na wanajeshi. Na maduka mengi hayajafunguliwa.
Naomba tuendelee kupeana updates hapa. Jana pascal njaa...
Katika hili taifa letu kitu ambacho tunapaswa kupambana nacho Kwa nguvu basi ni umaskini wa kutosha ulipo Tanzania ukizunguka maeneo mbalimbali nchini utakuta watu wanaishi katika mazingira duni...
Majibu mepesi mepesi ni kama haya haya yanayoendelea kwenye serikali hii mbovu.
Unapotangaza mumegundua kuwa majibu ni Ai.
Mungesema wameingia na simu maana AI hakuna ya kichwa cha mwanadamu...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo amesema Wizara yake itaendelea kuhakikisha wamiliki wa ardhi wanapatiwa hati miliki ili kutatua na kupunguza migogoro ya...
Mhh..ukiweza, usiache watoto mikono mitupu dunia iwachachafye.
(Hivi sisi tunazaa halafu watajijua mbele kwa mbele kwenye sehemu ambayo hata huduma za elimu na afya KUBWA unalipia😂?)
Kama hauna...
Mnakumbuka kipndi cha kuelekea oct 29 Mwanafa Katika ac yake ya instagram aliwahi achia video ikionyesha Show room yake ya magari ya kifahari nyumbani kwake anayomiliki kwa matumizi zilikuwa...
Katika vitu ambavyo huwa sijawahi kuvielewa ni mtu wa kawaida tena mvuja jasho tu kufunga safari kwenda kwenye maandamano ya timu ya mpira au paredi akitumia muda wake na gharama zake mwenyewe...
Katika siku za hivi karibuni, nimeona kipande cha video cha Mheshimiwa Zungu akizungumzia uhusiano wa watu wa dini mbalimbali nchini Tanzania. Alieleza kuwa amesoma katika shule ya Kikatoliki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.