Na Mwandishi Wetu
Katika kuadhimisha Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), Meneja wa Vodacom Tanzania Foundation Sandra Oswald amesema taasisi hiyo inaendelea...
Wataalamu wa afya nchini wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kutoa elimu sahihi kwa wananchi na kutowaachia watu wasio na utaalamu, kuendelea kusambaza taarifa zinazoweza kupotosha kuhusu...
Ndugu zangu, baada ya kadhia ya Oktoba 29, ilianzisha wizara itayodili na masuala ya vijana tu. Sote tuliona waziri mwenye dhamana kuzunguka baadhi ya mikoa na kukutana na makundi mbalimbali ya...
Nimemsikia waziri mkuu Kassim Majaliwa Juzi akiwa Shauri vijana wenye shahada za vyuo vikuu lakini hawana ajira wajiunge na vyuo vyetu vya Veta ili kujifunza SKILLS mbali mbali.
Nimesoma pia...
"Hatuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania.Tulinde amani ni mtaji wetu,tuitunze,tusikilizane,tuheshimiane,tushikamane."
Huu ni ujumbe toka kwa machakubanga waliojiweka madarakani kwa mabavu,sasa...
Understanding the Oil & Gas Industry Flow ⛽
The oil and gas industry is generally divided into three major segments: Upstream, Midstream, and Downstream. Each segment plays a critical role in...
Nimelipia huduma ya kuunganishiwa umeme hapa Geita mjini tokea mwezi wa 4 mpaka sasa sijapatiwa huduma.
Pamoja na kufanya ufuatiliaji sana lkn majibu ninayopata hayaridhishi na tayari mita ziko...
Watu wanne ambao ni wanachama wa Taasisi ya Wanafunzi wa CHADEMA(CHASO) wamekamatwa na wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za kukutwa wakipanga na kuhamasisha watu...
This comprehensive infographic breaks down the two energy sources into 5 core pillars to illustrate their unique characteristics and use cases:
1. Composition: LPG is a mix of propane (C₃H₈)...
Kuna kitu nimekishuhudia weekend hii ngoja nisimulie hapa labda mtajifunza hasa wazazi.
Ijumaa nilikua chimbo moja nimekaa peke yangu natafakari ugumu wa maisha na harakati zake huku nasubiri...
Taarifa rasmi kutoka kurasa za mitandao ya Baraza la Mitihani ya Taifa ( NECTA), ni kwamba litatoa taarifa ya Matokeo ya kidato cha Sita iliyofanyika mwezi May 2026.
Katibu Mkuu ataongea na...
Kwanini wanawake hudondoka na kuweweseka wanapofanyiwa maombi tofauti na wanaume mfano Jana wanawake ,15+ wamedondoka
Wanaume 1 Tu Kati ya 10
Je nini huwa dondosha na uyo mwanaume aliyedondoka...
Fuatilia huyu Mkiristo, Godlogic anavyo chambua sababu zitakazo kuaminisha bila shaka yoyote kuwa Kweli Quran tuliyo nayo sasa siyo ile ambayo Mohammad aliikusudia iandikwe.
Kwamba Uthman...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X, Wakili Peter Madeleka ameandika;
"Yaani, MUNGU ainusuru nchi yetu. Maana, bila MSAADA wake, SHEHE SAIDI MWAIPOPO nae amepanga KUWANG’OA WATU MENO BILA GANZI...
Kuna muda inakua ina changanya sana, kwa mfano ulikua na kazi yako unalipwa vizuri ghafla uka fukuzwa kazi, unaanza tena kutafuta kazi halafu ulikua umezoea kuishi maisha Fulani hivi Kwa sababu...
Pwani ina kila kitu kwa maisha ya utulivu. Watu wake wako peace, hawana papara za mjini hali ya hewa ni nzuri, kila upande unaona minazi, mikorosho na miembe, ardhi yake kubwa ni flat na nzuri kwa...
Mimi ni mmoja wa wateja niliyeagiza gari kutoka nje ya nchi. Gari langu limefika bandarini tangu wiki iliyopita, lakini hadi sasa halijatolewa kutokana na changamoto kubwa ya mifumo, hususan mfumo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.