Maandamano ya 7/7: Nani anaenda kuandamana (?)

Maandamano ya 7/7: Nani anaenda kuandamana (?)

Saidama

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2022
Posts
855
Reaction score
1,593
Nikiwa kama mwananchi wa kawaida ninaetamani kuona nchi yangu inakua na uongozi bora unaoweka mbele maslai ya wananchi, nimeshindwa kuelewa hiki kinachopangwa kwenda kutokea siku ya 7/7.

Natamani kuona wananchi tunaamka na kupeleka ujumbe wetu kwa walio mamlakani, ila sidhani kama tuko tayari kufanya hivyo kwa sasa, hasa hii 7/7.

Naona kama wananchi mtaani hawana habari na hili jambo na hamasa yote inayofanywa ni kama inafanywa na kuishia mitandaoni tu, sijafanikiwa kukutana na mwananchi hata mmoja ambae ameongelea hili swala.

Kwaio naendelea kukosa jibu nikijiuliza ni nani anaenda kuandamana siku hiyo.
 
Njia ya kuandamani kwa sasa ni hayo maandamano yaanzie vijijini kabla ya mijini
 
29-10 lilifanywa kosa kubwa baada ya waandamanaji kuendekeza njaa na kuanza kuiba na kuharibu badala ya kupeleka ujumbe,, jamaa wananjia 1,000,000 za kuyazuia maandamano kwa sasa.
Kama yatatokea, njia yao pekee ni kutumia nguvu kupita kiasi. Sidhani kama wanaweza yazuia bila hivyo
 
Kijijini hakuna wa kukuelewa, moja kwa moja watasema huyu nae chizi. Kiufupi waliopo vijijini haswa vilivyopo mbali na barabara kuu huwambii kitu. Kama kuna mtu anataka kuandamana akandamane nilio yaona 29.10 yanatosha
 
Kama nitaelezwa kiongozi ni nani na mikakati yetu ni hipi.Nihesabu kwenye orodha.

Nikipata majibu ya haya maswali sitarudi nyuma mpaka haki ipatikane:

1:Nani atatuongonza katika haya maandamano?(kiongozi mkuu)
2:Yataanzia wapi na kuelekea wapi?
3:Tunao viongozi kwenye maeneo yetu tofauti na kiongozi mkuu?(sio wote tuna kaa Dar,Mbeya,Mwanza au Arusha)
4:Ujumbe mkuu ni upi?(naweza kuwa na wa kwangu ukatofautiana na wenzangu unakuwa ushakuwa mgogoro kati yetu).
5:Yakiwa yote hayo yako sawa,je yasipofanikiwa kwa kipindi hiki(serikali isitoe majibu) tumejipanga vipi kuhakikisha tunafanikiwa.

Kama naweza kupata haya majibu nipo tayari hata waje na bunduki(sitaishi milele so kuna haja gani ya kuogopa kifo)
 
Mkuu kama unataka “maandamano” hayo yenye sifa ulizozitaja basi subiri “maandamano” ya umoja wa vijana ccm kumpongeza mama kwa kazi iliotukaka kukuza demokrasia nchini…….. hapo mtapewa usafiri bure, unifomu na posho ukawanunulie wanao mboga
 
Mkuu kama unataka “maandamano” hayo yenye sifa ulizozitaja basi subiri “maandamano” ya umoja wa vijana kumpongeza mama kwa kazi iliotukaka kukuza demokrasia nchini…….. hapo mtapewa usafiri bure, unifomu na posho ukawanunulie wanao mboga
Sasa tofauti na hivyo ndio maana wana waterm kama wahuni.Hamko tayari kwa hili ambalo nimeuliza kwa maana kinachofanyika ni unafiki na uoga.

Ya hivyo siwezi.Kama umesoma historia ya dunia japo kidogo.Kasome situation kabla ya industrial revolution in Europe.Mnachotaka kufanya ndicho kile wale mabwana walikuwa wanafanya.Ukisasema maandamano lazima kuwe na organisation.Kwahiyo unataka tu mtu atoke kwake kwamba anaenda kuandamana hajui anaanzia wapi na kuishia wapi.(utakuwa kichaa kabisa au hujui unachofanya)

Mnaenda kuwapa polisi sababu ya kuwaua tena mara nyingine
 
Sasa tofauti na hivyo ndio maana wana waterm kama wahuni.Hamko tayari kwa hili ambalo nimeuliza kwa maana kinachofanyika ni unafiki na uoga.

Ya hivyo siwezi.Kama umesoma historia ya dunia japo kidogo.Kosome situation kabla ya industrial revolution in Europe.Mnachotaka kufanya ndicho kile wale mabwana walikuwa wanafanya.Ukisasema maandamano lazima kuwe na organisation.Kwahiyo unataka tu mtu atoke kwake kwamba anaenda kuandamana hajui anaanzia wapi na kuishia wapi.(utakuwa kichaa kabisa au hujui unachofanya)

Mnaenda kuwapa polisi sababu ya kuwaua tena mara nyingine
Mkuu ukiona hivyo ujue haya maandamano HAYAKUHUSU………. Why bother?

Hujalizimishwa wala hulazimiki kuandamana…… tuache tunaojua kinachoendelea

Huwa napata sana ghadhabu🤬
kwamba huelewi kwanini watu wanaandamana?
Kwamba hujui kwanini maandamano yanakua organized kwa mtindo huu?
Unaishi nchi gani? Hii hii Bongo?

Usituchoshe mkuu, subiri maandamano ya umoja wa vijana ccm yana sifa zote unazotaka na posho juu……..Haya ya “kihuni” yako nje ya uwezo wako wa Kufikiri
MATAKÒ YAKO
 
Back
Top Bottom