Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Familia ya PPM wa Mwanza, inawashukuru wote waliosaidia kusambaza taarifa za binti yao mwenye miaka 15 ambaye alitoroka kituo cha kusaidia kupambana na uraibu (Rehabilitation center) kiitwacho...
15 Reactions
76 Replies
1K Views
  • Redirect
Nimefungua uzi huu kwa ajili ya kutupia kuweka tetesi za usajili nikihusisha timu zote bala Hapa utaweka usajili kamili au tetesi zote za usajili kutoka chanzo chochote cha habari KARIBUNI
0 Reactions
– Replies
– Views
Anonymous
Sisi waombaji wa mikopo ya asilimia 10 kutoka Halmashauri ya Nyamagana tunakabiliwa na changamoto mbalimbali katika mchakato wa kupata na kutumia fedha hizo. Baada ya kupitia ukaguzi wa kamati...
1 Reactions
2 Replies
181 Views
Wiki iliyopita niliingia kwenye ofisi moja ya serikali, huyo ofisa aliyekuwa hapo aliponiona akaanza kutabasamu na kunikaribisha kwa bashasha. Nikajua ni uchangamfu tu, nilipoketi ndiyo akaniambia...
2 Reactions
6 Replies
213 Views
  • Redirect
Labda nipongeze mamlaka,na nitoe hongera kubwa sana,sisi tumekataa lakini wakenya wakakubali kuiuza ardhi yao na uwekezaji milele at a little percentage of gain.. Tanzania inakataa kila aina ya...
2 Reactions
– Replies
– Views
Leo tar. 09.07.2026 majira ya saa 3 asubuhi, kata ya Ilolangulu wilaya ya Uyui mkoa wa Tabora kuna tangazo limetangazwa likawataka wakazi wote pamoja na vitongoji vyake kesho asubuhi majira ya saa...
4 Reactions
5 Replies
158 Views
Kwa nini wanawake wanaozaa huwa hawataki kulipa huduma za hospitali za kuzalishwa? Sababu hasa za watu kutaka huduma za kuzaa kuwa bure ni zipi? Kwa nini utake watu wagharamikie kuzaa kwako?
1 Reactions
13 Replies
263 Views
Unakula huku una-chat au unabofya laptop. Simu yako inaanza kuita kwa sauti kubwa wakati ukumbi uko kimya. Unaanza kuchezea kijiko, pen au chupa ya maji kwa woga. Unapiga miayo mfululizo bila...
1 Reactions
7 Replies
116 Views
Maisha yamefukufundisha nini mpaka sasa? Tunaweza kujifunza kutoka kwako
2 Reactions
9 Replies
157 Views
Wakuu Habarini za Asubuhi, Huu Utaratibu Wa Serikali kutoza Kodi Ya Jengo Kupitia Luku(Ukijaza Umeme kwa mwezi) Na kutoza kodi ya Ardhi Kupitia Hati(Control Number Unazotumiwa kwenye Simu kwa...
7 Reactions
14 Replies
446 Views
Wazima humu JF? Naweza kupata elimu kuhusu nidhamu ya pesa? Neno kama: Una nidhamu ya pesa? Nimekuwa nikikumbana nalo kila ninapoomba mkopo wa fedha kwenye kampuni na watu binafsi, lakini...
3 Reactions
4 Replies
134 Views
Nimepita mahala nikashituka, jamaa anatoa elimu ya utengenezaji wa sabuni za MCHE, una mlipa 3000 anakufundisha kutengeneza sabuni HATUa Kwa HATUa, inakua kama darasa, kozi ni wiki Moja tu...
7 Reactions
54 Replies
811 Views
Anonymous
Naomba mamlaka husika zichunguze huduma za vyeti mtandaoni katika Wilaya ya Tandahimba. Niliomba cheti cha kifo tarehe 11 Juni 2026, lakini hadi leo 8 Julai 2026 sijakipata, na status ya maombi...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
MASTURBATION/PORN ADDICTION “ DON’T DESTROY LIFE FOR 5 SEC PLEASURE. ” SIDE EFFECTS OF MASTURBATION/PORN × It makes you weak physically and mentally. × Your body shape gets worse. × You feel...
1 Reactions
2 Replies
101 Views
Wakuu mimi nafuatilia lugha ya kiswahili na kiarabu nakuta maneno mengi ya kiswahili yametoka Kiarabu naomba ufafanuzi wa kina sababu za lugha ya kiswahili kua na maneno mengi ambaya yametokana na...
3 Reactions
29 Replies
277 Views
Hii sheria ya ardhi kutaka eneo ulitumie kilazima ni kama kulazimisha mtu kushindwa ndio maana kesi za ardhi zimekuwa nyingi. Ukimiliki ardhi wanataka waone unaendeleza wanavyodai. Najiuliza...
1 Reactions
1 Replies
58 Views
HUU NDIO UDIKTETA KAMILI. Iko wapi haki ya kujieleza!!! Yaani watu wametoa tamko leo na wamefukuzwa leo,leo!!! Hii sio sawa kabisa,tunahitaji kupewa haki ya kujieleza. TOFAUTI YETU NA WAO IKO...
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Sio vizuri kutaja kampuni ila hizi kampuni za mitandao zipo chini ya usimamizi wa TCRA. Technology kila siku inabadilika na maitaji yanazidi kuwa tofauti. Kampuni nyingi za mawasiliano udanganya...
2 Reactions
1 Replies
73 Views
Wananchi tumeshindwa kupaza sauti ikasikika, Morogoro Wilaya ya Morogoro Mjini, Kata ya Mji Mkuu, Mtaa wa Bomaroad kuna bomba la maji safi limepasuka, lina miezi takribani 6 sasa linavuja tu...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Biashara inapokua bado changa inahitaji uangalizi mkubwa sana kuliko kipindi chochote kingine. Hiki ndio kipindi ambacho mmiliki wa biashara anajifunza mambo mengi kwa vitendo. Unaanza kutengeneza...
1 Reactions
4 Replies
254 Views
Back
Top Bottom