Maisha yana funzo kwetu

Maisha yana funzo kwetu

Jipende, kula vizuri, nukia cool and fresh, vaa vizuri ipende familia yako, kumbatia kilicho chako, watu watakupenda kisa una muda nao, pesa zako, wakikuhitaji upo,, siku uwepo wapo kwao sio muhimu huna tofauti na disposable mzee

Wewe kwanza una familia, familia yako kwanza...... Usiwe people pleaser utalia sana

Risiti ya Juzi imemuumbua mnafiki yule maninaaaa na mwisho sitaki umatako na wajinga wajinga mimi acha niendelee kuishi
 
1. Wema ni kumanyoko.

Hili ☝️ ni bonge la funzo.

2. Jilinde kabla hujalindwa na wengine, unapoanguka simama (fundisha akili/moyo wako kutopenda kuonewa huruma).
 
44e45e673b05ec9f94dd7cd61166ac31.webp
 
Nimejifunza kwamba.......Wakati mwingine hali ngumu tunazopitia kwenye maisha yetu si kwa sababu tunastahili, hapana...... Wakati mwingine ni kwa ajili ya kutujenga, kutufundisha, na kutuandaa kwa kile kinachokuja mbele yetu.
 
Jamiiforum limebaki kuwa jukwaa la jobless na job victims
 
Jipende, kula vizuri, nukia cool and fresh, vaa vizuri ipende familia yako, kumbatia kilicho chako, watu watakupenda kisa una muda nao, pesa zako, wakikuhitaji upo,, siku uwepo wapo kwao sio muhimu huna tofauti na disposable mzee

Wewe kwanza una familia, familia yako kwanza...... Usiwe people pleaser utalia sana

Risiti ya Juzi imemuumbua mnafiki yule maninaaaa na mwisho sitaki umatako na wajinga wajinga mimi acha niendelee kuishi
Asante kaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom