Naweza kupata Elimu ya Nidhamu ya Pesa?

Naweza kupata Elimu ya Nidhamu ya Pesa?

Nexltshahda

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2026
Posts
378
Reaction score
744
Wazima humu JF?

Naweza kupata elimu kuhusu nidhamu ya pesa?

Neno kama: Una nidhamu ya pesa? Nimekuwa nikikumbana nalo kila ninapoomba mkopo wa fedha kwenye kampuni na watu binafsi, lakini ninaitikia tu ila kiuhalisia sielewi lina maana gani.

Kwa faida ya wote naomba elimu.
 
Sema sometimes nidhamu ya pesa nayo ni kama kipaji hivi sio kila mtu anaweza

Anyway kwa lugha rahisi ni hivi pesa ifanye kile tu ilichopangiwa kama ni ya biashara ifanye biashara kama ni ya kujenga ijenge kama ni ya mtaji basi ikafanyie mtaji tu na si vinginevyo na matter what happened
 
Back
Top Bottom