Wananchi tumeshindwa kupaza sauti ikasikika, Morogoro Wilaya ya Morogoro Mjini, Kata ya Mji Mkuu, Mtaa wa Bomaroad kuna bomba la maji safi limepasuka, lina miezi takribani 6 sasa linavuja tu...
Biashara inapokua bado changa inahitaji uangalizi mkubwa sana kuliko kipindi chochote kingine. Hiki ndio kipindi ambacho mmiliki wa biashara anajifunza mambo mengi kwa vitendo. Unaanza kutengeneza...
Habari ndugu wawekezaji,
Naomba kuuliza ni bima gani hapa Nchini inafanya vizuri sana kwenye suala zima la bima za mitambo?
Naulizia kuhusu
01. Malipo ya haraka?
02. Assesment za haraka
Kwa...
Habari.
Sisi wakazi wa Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, tumekuwa tukikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji kwa muda mrefu. Wakati mwingine hupita wiki moja hadi mbili bila kupata...
Ukipitia maoni au hata mijadala ya watu mbalimbali humu jukwaani na hata kwenye mitandao mingine ya kijamii utagundua kuwa raia wengi hawana uwezo wa kuandika Kiswahili kwa ufasaha.
Wengi wao...
Kipindi cha miaka 99 kushuka chini kombe la dunia lilikuwa na mvuto sana kila timu ilionyesha mvuto wake.
Kipindi kile tulifahamu wachezaji wengi sana mpaka makipa.
Mada hii inaweza gusia kila...
Naomba nitumie jukwaa hili kuwasilisha dukuduku yangu nikiwa naamini ujumbe utawafikia wahusika kama ambavyo tumekuwa tukiona kwenye baadhi ya kero ambazo zimekuwa ziibuliwa hapa jukwaani.
Ni kwa...
Nilikuwa naangalia video za watu waliokamatwa kwa wizi wa pikipiki leo na juzi nikaona pikipiki nyingine wenye mali wamezikamatia maduka ya used
Nikawaza hivi kuna usalama na zile pikipiki...
Samaki anakua kwenye maji tangu mdogo na ayo ayo maji yanatumika kumpika ,Maana yangu nini usimuamini kila mtu wengi wanaouza faili zetu ni wale tunaowaamini
Tanzania imelitaka Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (WIPO) kujenga mfumo wa kimataifa wa Miliki Ubunifu unaowezesha nchi zinazoendelea kunufaika na maendeleo ya Akili Unde(Artificial...
KIPWA/CHIPWA: Kijiji ambacho kilikuwa katika dunia ya peke yake. Shukrani kwa Mama Samia.
Tarehe 15/10/2020 ni siku niliyotembelea kijiji cha Kipwa, kilometa 85 kutoka Sumbawanga mjini, mpakani...
Hiyo kampuni inatesa wafanyakazi wake kwa kuwalipisha marejesho ya wateja ambao wanashindwa kulipa marejesho yao
Ukikataa kulipa kazi unapoteza
Waziri ingilia kati hii changamoto
Haya mambo ya kupeleka watu kukaa darasani miaka kwa miaka kujifunza nadharia mbalimbali miaka kumi ijayo bado yatakuwa na maana?
Naona maendeleo ya teknolojia yataondoa vikwazo vingi kwa watu...
Hatma ni neno linalomaanisha mwisho, matokeo, au mustakabali wa jambo lolote. Ni kile ambacho kimepangwa kutokea katika uhai wa mwanadamu au katika kuwepo kwa kitu chochote.
Katika mtazamo wa...
Hatari nyingi haziji zikiwa zimevaa sura ya hatari. Mara nyingi huja zikiwa zimefungwa kwenye kifurushi cha urahisi, maendeleo, starehe au teknolojia.
Ndio maana tunapaswa kujifunza kuhoji kila...
Wafanyakazi wenzangu wamekuwa wabahili kupitiliza Hadi nakereka
Mtu anataka Hadi ku submit kazi kwa supervisor umfanyie hotspot
Akitaka kuchat kwenye grp napo anaomba kuwa hotspoted
Chakula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.