Tanzania imelitaka Shirika la Miliki Ubunifu Duniani (WIPO) kujenga mfumo wa kimataifa wa Miliki Ubunifu unaowezesha nchi zinazoendelea kunufaika na maendeleo ya Akili Unde(Artificial...
KIPWA/CHIPWA: Kijiji ambacho kilikuwa katika dunia ya peke yake. Shukrani kwa Mama Samia.
Tarehe 15/10/2020 ni siku niliyotembelea kijiji cha Kipwa, kilometa 85 kutoka Sumbawanga mjini, mpakani...
Hiyo kampuni inatesa wafanyakazi wake kwa kuwalipisha marejesho ya wateja ambao wanashindwa kulipa marejesho yao
Ukikataa kulipa kazi unapoteza
Waziri ingilia kati hii changamoto
Haya mambo ya kupeleka watu kukaa darasani miaka kwa miaka kujifunza nadharia mbalimbali miaka kumi ijayo bado yatakuwa na maana?
Naona maendeleo ya teknolojia yataondoa vikwazo vingi kwa watu...
Hatma ni neno linalomaanisha mwisho, matokeo, au mustakabali wa jambo lolote. Ni kile ambacho kimepangwa kutokea katika uhai wa mwanadamu au katika kuwepo kwa kitu chochote.
Katika mtazamo wa...
Hatari nyingi haziji zikiwa zimevaa sura ya hatari. Mara nyingi huja zikiwa zimefungwa kwenye kifurushi cha urahisi, maendeleo, starehe au teknolojia.
Ndio maana tunapaswa kujifunza kuhoji kila...
Wafanyakazi wenzangu wamekuwa wabahili kupitiliza Hadi nakereka
Mtu anataka Hadi ku submit kazi kwa supervisor umfanyie hotspot
Akitaka kuchat kwenye grp napo anaomba kuwa hotspoted
Chakula...
Propaganda za CCM ni za kichekesho sana na mtapigwa pesa mpaka mkumo na mwisho wenu unakaribia.
Yani mfano tu kuna watu wanaibuka kuwa wenyekiti sijui jumuia ya wananchi fulani mfano mlivyo fanya...
Wazalendo
Hatuhitaji sababu nyingine ya kuwatoa wauaji madarakani, kama ulikuwa hauamini juu ya utekaji labda ulikuwa ukiona watu wanajiteka wenyewe Kwa wenyewe basi itoshe kusema kuwa hatuna...
Nimegundua ili hata ambaye na somesha wanatakiwa kuwa na ipad kwenye mambo ya urubani.
Mbona hawajaweka tablet ya techno wala Samsung.
Kashafika level ya kurusha ndege.
Wajuzi mtueleweshe...
12 June 2026
Dar es Salaam, Tanzania
ALIYEDAIWA KUMUUA MKEWE GOBA AACHIWA HURU - TAZAMA ILIVYOKUWA MAHAKAMANI...
https://m.youtube.com/watch?v=qkpCmDpGCR8
Katika hatua ya sasa ya kimahakama...
Hii ni tahadhari kwa wajasiriamali wenzangu. Serikali kwa sasa inapambana hatua kwa hatua kuboresha shule zake hasa upande wa taaluma. Kufungua shule huku serikali ya CCM ikitoa elimu bure na...
Huu ni ukweli ambao Wala hauna shaka kabisa, kwamba Waandamanaji wanaogopwa Sana kuliko majeshi yote ya hapa nyumbani.
Pamoja na kwamba majeshi yote yalitoa hakikisho la usalama Kwa raia kwamba...
Yesu Anajibu ni channel inayochunguza jinsi Yesu Kristo angejibu maswali, changamoto, na mahitaji ya watu wa siku hizi kwa kutumia mafundisho ya Biblia. Kupitia maswali na majibu, tafakari, na...
Kuna mada hapa zilishaeleza malalamiko kuhusu watu wengi wanajikuta wakiingizwa kwenye kesi ambazo mda mwengine na yeye kama anajiuliza ilikuwaje.
Nilichojifunza kwa wenzetu ni kwamba kama...
Kama ilivyo kwa binadamu wenzangu wengine Kuna wakati napitia msongo mkali wa kimawazo nakuwa na hamu sana ya kunywa bia kwa lengo la kujisahaulisha na shida. Ila nikifiria madhara yake hasa...
Mabadiliko yaliyofanyika kwenye mataa ya kuongoza magari katika Barabara ya Bibi Titi yameleta mkanganyiko mkubwa kwa madereva. Aidha, inaonekana askari wa usalama barabarani wamegeuza eneo hilo...
Kero yangu inahusu utaratibu wa utoaji wa bili unaofanywa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Mwanza. Nimepokea bili kubwa ya maji, huku mita ikiwa imejaa uchafu kwa ndani kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.