Habari wakuu,nina shida sana ya pesa kuanzia milioni 1 kutokana na mkwamo wa uchumi nilio nao, lakini bahati mbaya kwa sasa watu wanaonizunguka pamoja na ndugu zangu hakuna mwenye uwezo huo na...
Jumapili njema waungwana, Natumaini kila mmoja wetu yupo salama, wengine mpo viwanja, wengine mnapambana na usingizi wa mchana nk.
Sasa ndugu zangu leo nimekaa nikakumbuka experience fulani...
Habari, za muda huu ndugu zangu wana JF.
Kwenye maisha, kuna mambo mengi tunapitia mazuri na mabaya. Naamini sio wote tumewahi pitia mambo magumu kiasi cha kutamani kufa au Dunia ifike mwisho...
Dajjal Au Kwa Jina La Kiingereza Antichrist;Huyu Ni Kiumbe Atakayeibuka Zama za Mwisho Wa dunia Na Kudai Kuwa Yeye Ni Mungu.
Katika Vitabu Vya Dini Vinasema Hakuna Nabii Yoyote Alopita Bila...
Siku hizi ukiangalia mitandao ya kijamii Tanzania kuna kitu kinaonekana wazi sana, ma-beef kati ya watu maarufu yameongezeka kwa kiwango kikubwa. Kila wiki kuna mtu kagombana na mwenzake, wengine...
Wakuu Kuna muda nakaa nafikiria mpaka naanza kujiuliza aliependekeza Mimi nizaliwe aliwaza Nini
Picha linaanza mpaka Sasa Nina umri wa miaka 23
Lakini Hali yangu haieleweki pangu pakavu tia...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo amewatahadharisha viongozi wa vijiji nchini kuacha kujihusisha moja kwa moja na uuzaji wa ardhi bila kufuata taratibu za...
WANAWAKE WENYE VIPATO WANAWAPOTOSHA WANAWAKE MASKINI. SASA MWANAMKE AANDIKE MALI KWA JINA LAKE KWA KIPATO KIPI?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Asilimia kubwa ya Wanawake ni tegemezi ile...
Kwa WAZAZI NA WALEZI. Imekuwa ni kawaida kusikia wazazi na walezi wakilalamikia tabia ya watoto wao kukosa heshima. Wengi wanaona watoto wao wana jukumu la kuwaheshimu tu bila kuangalia upande wa...
Hali ya barabara Kibaha Mailimoja, Mitaa ya Kwa Mang’umbi hadi Tankini, leo Desemba 28, 2025, ni ya kusikitisha, mara nyingi mvua inaponyesha inakuwa haipitiki kirahisi na hivyo kusababisha kero...
Ukweli ni upi kuhusu utajiri na kutoa sadaka za mali kwa kuwapa mayatima au watu wenye mahitaji maalumu nakumbuka niliwahi Mfata tajiri mmoja wa viwanda hapa nchi nikamuambia jinsi naendesha...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kup ambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na mamlaka husika za nchi za Eswatini, Afrika Kusini, Msumbiji na Zambia itaendelea kufanya operesheni za pamoja za...
Unaenda zako kwenye wedding, summit, graduation au event yoyote. Umekaa zako mezani sometimes hata hightable kbs ghafla cameraman anakuja...Boss unatabasamu kidogo...Anakupiga picha moja...
Dalili za Kawaida za Ugonjwa wa Akili
Ugonjwa wa akili unaweza kujidhihirisha kwa njia tofauti, na dalili zinaweza kutofautiana kulingana na shida maalum. Dalili za kawaida ni pamoja na:
Huzuni...
Niwaombe mamlaka ya LATRA waingilie kati maana costa za Moshi Arusha wamejipangia nauli wanavyo taka hii imekuwa ghali kuliko. Naomba Latra wafuatilie hili au wapange nauli halali kama inavyo...
Maendeleo ya Nchi yoyote duniani huletwa na uwekezaji kwenye Hesabu na Sayansi.
kwa sababu zisizo eleweka, Nchii hii imewekeza vikubwa kwenye Arts badala ya sayansi; na hii ni kwa takriban miaka...
Hapa Tanzania naona kila idara zimeoza na zinajiendesha kwa uwezo wa CCM wanavyotaka.
Mtu unakamatwa na hapo polisi hawana upelelezi walio nao,ukipelekwa mahakamani na bado upelelezi ujakamilika.
Katika mikoa hii miwili ambayo ndio ina ma-utingo na madereva jeuri kabisa, ni kama wao hawajui Traffick wala LATRA.
Basi ina leseni yA Moshi-Sanya, ila ikikaa kila wanasema kituo kwa kituo ni...
Kwema wakuu!
TUlipokuwa tunasoma, tulisoma kina Karl Marx, Wakina Charles Darwin, Kina Pilato, Aristotle na wengineo. Leo hapa JF kuna Watu na Falsafa zao, mitazamo, na nadharia zao. Humu ndani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.