Moja kwa moja ...
Siku za nyuma nilipita mitaa ya Jiji la Dar es salaam Posta , Kisutu , Upanga na Mnazi mmoja . Katika pita pita zangu nimekuta majengo mengi wamiliki chakavu bado yapo katikati...
Sio kwamba eti ni punyeto ndio imefanya umeaanza kuona hakuna utamu katika sex , no , ni afya ya akili ndio director wa hii movie, unakuta mtu anachakata mikono kila muda kwa kutumia energy zake...
Nimeamua kuchukua hatua za haraka, maksudi na lazima kuacha kuangalia na kushabikia mchezo wa mpira wa miguu ili kulinda hadhi, heshima na IQ yangu.
Mpira ni mchezo wa maskini, low IQ na...
Hivi adhabu gani ya kifo inamfaa 'muuaji sugu', (serial killer)?... i.e mtu kamlawiti/kumnajisi mtoto/kikongwe kisha kamnyonga/kamchinja (victim wake) mpaka kufa nk... ili iwe 'funzo' kwa...
Kwangu mimi niliweza ku-save lakini sio kiasi kikubwa sana hadi namaliza chuo ni kama naanza upya
Sasa nimekutana na mdada katika story mbili tatu ananiambia pesa ya Boom ndio iliyomfikisha hapo...
Gari za umeme ni nzuri na hazitumii mafuta ni kuchaji tu.
Kwa africa sio za kuzipokea haraka maana hatuna uwakika wa umeme,miundo mbinu ya vituo vya kuchaji,mifumo ya mazingira ya gari .
Hizi...
Mwanamke anayefanya kazi ya kuhudumia mazishi, anayejulikana kwa jina la Mary, nchini Ghana alinukuliwa akisema kuwa mara nyingi huhisi furaha anaposikia kuwa mtu amefariki dunia.
Mary alisema...
Tokea nianze kutafuna chips za Dar sijaona utamu wowote kwa kweli. Yaani picha linaanza viazi vimeumuka halafu full mafuta kama vile unatafuna kipochi, havina ladha hata kidogo, viungo navyo...
Wakubwa shikamooni, wadogo zangu mambo vipi?
Ndugu zangu nimekuja tena baada ya kuingia mtaani kupambania kombe
Nakumbuka mara ya mwisho nilipitia msoto mkali sana nikaja humu kwa ushauri na...
Sisi watu weusi tunapitia wakati mgumu sana duniani.
Tunatengwa, tunachukiwa na tunabaguliwa.
Iwe kazini, kwenye michezo, kwenye ndoa, kwenye siasa kila mahali.
Pia sisi wenyewe kwa wenyewe...
Kwa maoni yangu binafsi,
Sisi wananchi tuchague,wabunge,madiwani na wenyeviti serekali ya mtaa!
----
Wabunge wao ndiyo wawe na nafasi/ mamlaka ya kupiga kura kwa kumchagua rais wa Jamhuri,hili...
Kumekua na kasumba ya watu binafsi au kampuni kutumia mabaunsa kama walinzi binafsi na wengine wamekua wakiwatumia mpaka katika migogoro ya ardhi Tena mabaunsa wasiokua na usajili maalumu kupitia...
Na. Calvin Katera - Arusha.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ametoa maagizo sita kwa Kamishna wa Uhifadhi TANAPA Massana Mwishawa leo Julai 09, 2026, jijini Arusha alipokuwa...
Binti mwenye umri wa miaka 19, Neema Phinias Eric (maarufu kama Anifa), mkazi wa Tarime Sirari, anadaiwa kutoweka nyumbani kwa dada yake alipokuwa amekwenda mapumzikoni tangu Siku ya Jumatatu...
Wasalaam wananzengo na majukumu ya hapa na pale.
Kero yangu iko kwa ndugu zetu wa mifuko ya hifadhi hasa watu tulio private sector tunaohudumiwa na shirika la mifuko ya hifadhi ya taifa kwa maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.