Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 814
- 1,646
Wakuu mimi nafuatilia lugha ya kiswahili na kiarabu nakuta maneno mengi ya kiswahili yametoka Kiarabu naomba ufafanuzi wa kina sababu za lugha ya kiswahili kua na maneno mengi ambaya yametokana na lugha ya kiarabu
MFANO:
IJUMAA=jumm'at
shetani=shaitwana
jini=jinni
wasiwasi=was was
abudu=aa'bud
wala=wala
maskini=maskini
fukara=fuqarat
binti=bintu
zinaa=zinaa
haki=haqq
hayo ni mingoni mwa maneno machaeche ambayo yanafanana
WAKUU NIPENI MUONGOZO NIPATE KUELEWA TAFADHARINI SANA
nawasilisha:
MFANO:
IJUMAA=jumm'at
shetani=shaitwana
jini=jinni
wasiwasi=was was
abudu=aa'bud
wala=wala
maskini=maskini
fukara=fuqarat
binti=bintu
zinaa=zinaa
haki=haqq
hayo ni mingoni mwa maneno machaeche ambayo yanafanana
WAKUU NIPENI MUONGOZO NIPATE KUELEWA TAFADHARINI SANA
nawasilisha: