Kwanini kodi ya ardhi na kodi ya jengo isiwe moja

Hamissi Hamza Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
555
Reaction score
1,114
Wakuu Habarini za Asubuhi,

Huu Utaratibu Wa Serikali kutoza Kodi Ya Jengo Kupitia Luku(Ukijaza Umeme kwa mwezi) Na kutoza kodi ya Ardhi Kupitia Hati(Control Number Unazotumiwa kwenye Simu kwa Kila Mwaka) Mbona Kama Si Sawa

Ni Vyema Kodi ya Ardhi Na Jengo Vingeunganishwa ikawa kodi moja(Ibaki kodi Ya Jengo Maana Ni Rahisi Kulipia)Upande Wa Ardhi ikabaki Ada Moja tu ya Mtu akifanya maombi Ya Hati ndo Alipie Kidogo.
 
Naunga mkono hoja!,kwa 100%>
Nyumba zipo kwenye ardhi.(Except) Mashamba!
#Digital easy way!...
 
Back
Top Bottom