Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukiambi wa Sali Sali kweli Hapo juu n list chache tu na wao wakiamka wanaombea wateja wao ukiwemo wewe Hapo sijataja wazee wapale mahakaman aka mawakili, yaan pigana na maombi dunian Mungu pekee...
2 Reactions
9 Replies
119 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati), akishiriki matembezi yaliyolenga kuhamashisha jamii katika Uhifadhi na Utunzaji wa...
0 Reactions
0 Replies
53 Views
  • Redirect
Salaam ndugu zangu. Nimemkuta wife kambetia agentina leo kaweka mil 1. Nikazinguana naye alafu nimembebeleza. Tupo sawa sasahv au nilitakiwa kukaza. Nipeni ushauri
0 Reactions
– Replies
– Views
Hello i wanna ask hivi mshahara ya hawa tour guiders huwa ni sh ngap!!?
4 Reactions
105 Replies
14K Views
Habarini, Viongozi wa Dini wanatunzwa na washiriki maskini wa kanisa na misikiti kwa kuambiwa watarajie muujiza ndani ya wiki! Viongozi wa dini nndiyo wanatumia pesa alizopewa Mungu na waafrika...
8 Reactions
33 Replies
549 Views
Hii picha ya shirika la habari Reuters inawaonesha baadhi ya raia Iran wakifuatilia kwa furaha na tabasamu jana mashambulizi ya mabomu nchini mwao yanayoendelea nakutekelezwa na Marekani. Cha...
10 Reactions
45 Replies
678 Views
Julai 17, 2026, JamiiAfrica ilitembelewa na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Christine Grau kwa lengo la kuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini. Balozi Christine alianza...
13 Reactions
9 Replies
167 Views
Na hizi ndo bachelor degrees zinazohitaji uwezo mkubwa wa kufikiri na akili nyingi zaidi duniani 1. Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS) – Udaktari Masomo mengi, muda mrefu wa...
9 Reactions
35 Replies
853 Views
Mtu anakufuata na kukuambia: 💬 “Tafadhali nisaidie kushika begi hili. Nitarudi baada ya dakika chache.” Watu wengi wangekubali bila kufikiria mara mbili. ⚠️ Hilo linaweza kuwa kosa kubwa. Kabla...
7 Reactions
13 Replies
191 Views
Serikali ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imepokea baiskeli 279 kutoka kwa mdau wa maendeleo wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania kwa ajili ya kusaidia kuboresha utoaji wa huduma za afya ngazi...
1 Reactions
5 Replies
113 Views
Wakuu happy day! Natafuta friend wa kushare naye experience kuhusu maisha ya kiroho,,, maana wengi wanasema ukiwa unasali kama bado uko youth majukumu ya kiwa mengi hufiki mbali,,, je kuna ukweli...
9 Reactions
160 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa takwimu za afya duniani, haya ndiyo magonjwa/hali zinazoongoza kusababisha vifo vingi zaidi: Magonjwa ya moyo na mishipa ya damu (yanaongoza kwa mbali) Ugonjwa wa moyo (ischaemic...
2 Reactions
1 Replies
110 Views
Kichwa kina jieleza Wakati wa ukuaji au hata ujanani unaweza kugundua una kipaji fulani" ambacho unadhani kama isingekuwa sababu fulani kupewa sapoti n.k ungefika mbali ila mazingira...
5 Reactions
30 Replies
336 Views
16/7/2026 Mtaalamu wa masuala ya usajili wa visa vya saratani na kanzi data kutoka African Cancer Registry Network (AFCRN) Prof. Sani Malami amesema maboresho makubwa yaliyofanywa na Taasisi ya...
1 Reactions
2 Replies
109 Views
Nianze kwa ku declare interest. Nimezaliwa sio tu kwenye familia na ukoo bali kabila ninalo toka watu wake wote ni Waislamu. Ni kabila lipo njia ya Back City.. Kabila la akina " KINYOGOLI" na "...
15 Reactions
74 Replies
877 Views
  • Redirect
Shule ya msingi KIMANDAFU iko wilaya ya Arumeru Halmashauri ya wilaya ya Meru mkoa wa Arusha. Mwalimu tajwa hapo juu ni mwl mkuu msaidizi na mwl wa Hisabati darasa la 5, siku ya Alhamisi saa 2...
3 Reactions
– Replies
– Views
Shule ya msingi Kimandafu iko Halmashauri ya wilaya Meru, wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha. Mwalimu moja wa shule hiyo aitwaye Stella Gunda jana asubuhi mida ya saa 2 alimfukuza darasani...
3 Reactions
30 Replies
577 Views
Baada ya Kitoilet paper cha Habib Mchange, naye akiwa ndiye mhariri wa kitoilet hicho kutoa kashfa kumtuhumu Nilesh mmiliki wa state oil kuwa alitoa pesa kuifadhili CHADEMA, nileshi alitoka...
5 Reactions
26 Replies
565 Views
wakuu mmeamkaje, mimi niko salama. Mods naomba mnisaidie kurekebisha kichwa cha habari kama mada haitaendana na nitakachoandika. Majuzi mishale ya saa sita usiku ilitokea ajali mbaya sana ambapo...
5 Reactions
9 Replies
442 Views
Kila mmoja wetu hupitia nyakati ngumu. Wapo wanaopoteza wapendwa wao, hukatishwa tamaa, husalitiwa, hukosa kazi, hupitia matatizo ya kifamilia au ya kifedha. Wakati huo, kila mtu hutafuta njia...
8 Reactions
39 Replies
634 Views
Back
Top Bottom