camp konzi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 211
- 407
ilikua ni usiku mnene na majira ya baridi kali mno inayopuliza mpaka unaisikia inapenya kwenye mifupa tulikua wengi lakini kadiri mda ulivozidi kuyoyoma ndio wote walizidi kupukutika mmoja mmoja mpaka tukajikuta tumebaki wawili tu mimi na mwanangu selenkuma na nadhazi kitu kilichofanya tuendelehe kusalia ni kwasababu wote wawili tulikua tunaweza vizuri kuimudu pombe na mbele yetu bado kulikua kumesalia na mzinga mmoja na nusu kwaiyo wote wawili tulikua tumeshanuia kwamba ni ahiishi mpaka hiishe kama unavojua pombe inaenda na stor kwaiyo tulipiga stor za mpira mambo ya siasa adi tukahamia stori za kuhusu astor za maisha na apa ndio kihini cha stor ya mwanangu selenkuma kinapopatikana jinsi binadamu anavogeuka kuwa mnyama dakika sifuri tu kwasababu mali ipo mbele ya macho yake NADHANI NIKIWA NIMETULIA NITAUANDIKA VIZURI HUU MKASA KWAKUA WAUSIKA WOTE IS DEAD