ENEO LINAUZWA
Ukubwa: Ekari 5
Mahali: Kigamboni Kisiwani
Linagusa barabara kuu
📍 Eneo hili lipo karibu na Daraja la Nyerere.
KUMBUKA: Kiwanja hiki kipo katika eneo la kimkakati karibu na...
Mkuu wa Idara ya Masoko na Uwezeshaji wa Vodacom Tanzania Plc, Joseph Sayi (katikati) akizungumza wakati wa kutangaza udhamini wa Mashindano ya Golf ya Vodacom Corporate Masters 2026...
Natoa angalizo kwa wale wa unashinda JF full-time
Huu ni kama ushauri tu kwamba hii mada inakuhusu isome yote ili uanze leo kupigana na hiyo tabia isiyopendeza ya kufatilia ni nani anaingia...
Ndugu zangu, ni wapi alipo Rais wetu wa awamu ya nne. Mh. Jakaya Mrisho Kikwete?
Hakuna kipindi ambacho wapinzani waliinjoi kama kipindi cha Kikwete. Walizoa wabunge wengi sana madiwani na...
Ni ngumu sana wazungu kufanya safari yoyote bila kua na camera au vifaa vyenye camera na pia hua wanapenda sana kupiga picha,video na hata sauti ya vitu ambavyo sisi wa afrika weusi tunaona...
Kwa hiyo yeye amewa import kutoka Pacific Ocean kuja kuwapanga kwenye meza Survey barabarani ? Eeeeeh ? Awauze basi huko huko California apate dollar!
Salmon, samaki namba moja mwenye nutrients...
Habari zilizopo ndani.Baada ya kila wanacho jaribu kuleta na kufanya CCM sasa wanaenda kuwatishia Benki na mitandao ya simu kuhusu account za Chadema zifungwe na kutopokea pesa.
Na utashangaa...
Utafiti ni mojawapo ya vyanzo muhimu vya taarifa, lakini si kila utafiti unaochapishwa ni sahihi au unawakilisha ukweli. Kabla ya kuamini hitimisho la utafiti wowote, hakikisha umetathminiwa kwa...
Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Josephine David anadaiwa kuwa mwathirika wa mtego wa ajira bandia uliolenga kumshawishi kufanya vitendo visivyohusiana na kazi aliyoahidiwa, kabla ya kuchafuliwa...
Kila nafsi iliyoonja uhai lazima itafikwa na umauti. Sisi sote tutakufa. Hakuna mtu atakayeondoka hapa duniani akiwa hai.
Hii ni lazima na sio hitari. Sio mtoto sio mkubwa. Sio Kijana sio mzee...
Kwa namna yoyote ile huyu mtu hakuwa na nia njema. Jangwani kwa miaka kadhaa imefahamika kama mkondo wa bahari, sasa kwa mtu yeyote mwenye akili timamu ama mwenye nia njema asingeleta ushauri duni...
Nimekuwa na kawaida ya kuingia chimbo la mtandaoni kupitia AI kusaka au kufanya window shopping ya bidhaa mbalimbali kabla ya kuingia madukani kichwakichwa.
Niseme tu akili mnembe a.k.y AI ni...
Jmoss tulivu imewadia, nimepoa kwa shem hapa... Ila Kuna issue nataka tuongee wanabodi.
Kwanza kabisa jana Nimetoa bandiko lenye ukakasi kuhusu watu wasio na ndinga(wanao panda daladala) . Ila...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam limemkamata Hosamu Hamza kwa tuhuma ya kumuua baba yake mzazi Hamza Juma Omari pamoja na baba yake mdogo Ally Juma Omari kwa kisu.
Taarifa iliyotolewa...
Wakuu,
Kuna mtu tunaishi ila ana tabia za wizi wizi.
Yaani kiufupi huyu mtu yeye bila kuiba asubuhi, mchana au usiku hajisikii kabisa furaha.
Yeye kitu pekee kinachompa furaha ni kuiba na...
Yaani unatumia fedha za walipakodi kumfurahisha mtu ambaye kesho atatoka madarakani.
Hebu fikiria kuisaidia shule ambayo vizazi na vizazi vinasema, hospital ambayo wananchi watatibiwa...
Ndani sintofahamu na mivutano ya kiutendaji imekuwa mingi katika Hifadhi ya Wanyamapori Uyumbu ambayo inasimamiwa na Jumuiya ya Uhifadhi wa Wanyamapori ya Uyumbu (WMA) Wilayani Urambo, Tabora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.