Chama tawala, chama pinzani, maana yake nini?

Chama tawala, chama pinzani, maana yake nini?

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,787
Reaction score
4,262
Katika siasa za kidunia haya maneno ni kawaida kuyasikia,hata hapa kwetu ambako uwezo wa watu waliopo kwenye nafasi za kuongoza ni mdogo kuliko wanaotakiwa kuongozwa,kifupi wanaoongoza hawawezi kuongoza na wasio ongoza wana uwezo wa kuongoza.

Unamuona msomi tena wa Sayansi ya siasa ama sheria anakwambia CHAMA TAWALA,ama CHAMA PINZANI maana yake nini?,

Chama kinachoongoza serikali katika nchi za kidemokrasia hakipaswi kuitwa chama tawala bali kiitwe chama wakilishi sababu wanaoongoza wanatuwakilisha sisi, wanajiita chama tawala wanamtawala nani? hii nchi si ya kifalme au kidikteta,ni wapumbavu tu ndio wanakazana chama tawalachama tawala na ndio maana wanatenda mambo ya hovyo.

Hakuna chama pinzani, hivi ni vyama chochezi,vipo kuchochea ili chama wakilishi kisimame imara,chama tawala na chama pinzani ni mkakati wa kisiasa kujipa mamlaka yasiyo na itifaki thabiti.
 
Back
Top Bottom