Wahenga wanatuambia njia bora ya kulitatua tatizo sio kulikimbia bali ni kulikabili lakini kila nikitafakari napata ukakasi kidogo naona kabisa labda inategemeana na tatizo lenyewe kwakua kuna...
Askari wa Usalama Barabarani waache kubambika madeni kwenye magari ya watu, gari yangu ilikatiwa deni ambalo siyo langu, ilionekana ilikamatwa kwa Mwingira Dar es Salaam wakati gari haijawahi...
Habari JamiiForums,
Kuna changamoto ya ucheleweshaji wa maombi ya uhamisho kwa watumishi wa umma walio chini ya TAMISEMI.
Niliwasilisha maombi yangu kupitia mfumo tangu mwezi Januari 2026...
Wanabodi,
Nipashe ya Leo 16/06/2024
NGUZO 7 ZA MANISTATION
Hili ni bandiko mwendelezo wa wiki iliyopita. Kama hukulisoma bandiko la kwanza, anzia hapa Siri ya Mafanikio Kupitia Manifestation -1...
Wakuu habari ya majukumu,,,,natumai Mungu anawapigania sana katika mapito yote hapa chini ya jua.
Mimi niende kwenye maada,,nimekaa siku moja nikaanza kujihoji Mimi ni nani kwenye hili?
Maana ni...
Dodoma Jiji walitangaza kujenga barabara zilizopo katikati ya jiji mwezi mmoja uliopita (Juni 2026) wakachimbua barabara maeneo ya mjini ambapo kuna biashara zetu na ofisi wamezitelekeza bila...
VODACOM wakiishiwa kwa tulio na simu na line zao wanaiba mchana kweupee..!
Hebu ona ujumbe nimetumiwa..
"Umetozwa Sh 100.0 TSH kwa ajili ya hadithi BABA NISAMEHE. Piga 0901767676 kuweza...
Wana baadhi ya mapungufu yao sio wakamilifu sehemu zote lakini wamejitahidi kwenye hivi vitu
Hawana mtu wa ndani wala wa nje, ukienda kwao huna haja ya kutambulishwa umejiunga, kwamba fulani hebu...
Pichani ni Mama Miriam Obote (90), mke wa Waziri Mkuu wa Kwanza wa Uganda, Hayati Apollo Milton Obote na Mama Maria Nyerere (95), mke wa Rais wa Tanganyika, Mwalimu Nyerere. Aliyekosekana hayo ni...
HABARINI WACHAGA WOTE
JAMVINI
NIMEPATA KUHUDHURIA MISIBA KADHAA YA WACHAGA IKISAFIRISHWA KWENDA MOSHI
SWALILANGU KUU JAMANI MBONA TUKIWA DAR HAMUWAWEKEI MAREHEMU MATARUMBETAA
TUKIFIKA PALE HIMO...
Kuna wadudu wafuatao wakikukamata wanakunyoosha kweli kweli je umewahi kukumbana na yupi kati ya Hawa?
Chawa,
Viroboto
Kunguni
Funza/vitekenya
Kwa upande wangu Nina historia ya kunguni kipindi...
Ni Jambo la kushangaza kwamba licha ya maendeleo ya teknolojia na uwepo wa fibers bado abiria wa SGR wanakosa mtandao ndani ya train wakiwa safarini.
Hili ni Jambo la kushangaza na linapaswa...
Hivi bado kuna haja ya kuendelea kuitumia hii salamu katika zama zetu hizi? Kwa lipi hasa?
Katika misingi ya salamu zote kwa lugha zote duniani hakuna kitu chenye mfanano na "shikamoo".
Ili...
Sijui wanaelewaa neno ugaidi na hatari za kisiasa.
Leo nilitaka kueleza maana input politics na out politics achana na diplomatic.
Kwa mambo yanayofanywa ndani ya siasa za CCM zinaweza kuifanya...
Mimi mdau wa usafiri wa Mwendokasi au UDART, kero yangu ni hizi card wanazotumia mwendokasi, si mbaya lakini naomba Serikali na Wizara itusaidie kuunganisha N-CARD itumike pia na kwenye mwendokasi...
Kama ni Uhuni basi alianza Mwarabu kwa kutuuza kama nyanya kupitia biashara ya Utumwa
Mtanzania ameumbwa kuonewa na kusamehe inawezekana hii ni laana
Kuuzwa kama nyanya, na kuuwawa na watumwa...
Mamlaka ya maji safi Mtwara Mjini (MTUWASA) nimelipia gharama za kuunganishiwa huduma ya maji tangu mwezi wa nne mwaka huu wa 2026 hadi sasa hawajaniunganishia huduma ya maji na ukiwapigia simu...
Kero yangu ni kutoka Mwanza Stendi ya Daladala eneo la Posta maarufu Stendi ya Igombe, vyoo vya kulipia ambavo vinapatikaha hapa stendi kwenye majengo ya Mwanza City Council (MCC) ni vichafu sana...
Obwere bei ni 4,209 per litre ila Busurwa ni 4,750 wakat n ndan ya wilaya moja na amekuwa akifatiliwa anadanganya et ni kwa ajili ya wavuvi wake lakin n uongo hana wavuvi anawauzia wananchi wa...
Mimi ni mkazi wa Zanzibar na napenda kuwasilisha kero kuhusu hali ya usafi katika eneo la Michenzani, Jumba Namba 2. Eneo hilo limekuwa na mazingira ya uchafu ambayo hayalingani na hadhi ya eneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.