Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baada ya kukaa kufikiria watajioneshaje kwenye mataifa kuwa TL ni mshitakiwa wa kweli. 7/7 wakaunganisha wale waliowateka,waliojaribu kueleza haki wapewe kesi za ugaidi ili watu waogope sasa...
1 Reactions
6 Replies
168 Views
Wananchi wa Kata ya Naalarami, Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, wanaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa ya uhaba wa maji, hali inayoathiri shughuli zao za kila siku pamoja na utoaji wa huduma...
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Najua kuna wale watu ambao hapa JF watakimbilia hoo samee ,watendee mema.Ila wanaosema hayo maneno ndio hao watu naotaka kuwazungumzia hapa. Ukiwa na pesa utaelewa hawa watu wapo vipi! Utaona...
4 Reactions
5 Replies
119 Views
Naona serikali ina hamu ya ugaidi Yaani kuwepo ugaidi TANZANIA jamii ya kimataifa ikae kimya Leo vijana wadogo kabisa wanayuo wa chadema wamepewa kesi za ugaidi Wanachama 23 wa chadema wamepewa...
4 Reactions
16 Replies
190 Views
Be careful how you treat a men who truly sacrifice for you, some man don't leave because they plan to....... but they leave because the woman they chose stop choosing them. Most men don't stop...
20 Reactions
84 Replies
960 Views
Miaka hiyo maeneo ya mikumi tumetoka zetu Dar tunaenda Zambia mimi na Mzee ameamua kuendesha gari lake mwenyewe lilikuwa ni Scania 112. Tulikutana na kituko cha gari kuzima tu bila sababu. Kisha...
8 Reactions
34 Replies
796 Views
DOGO aliupata interview moja ya kazi alipoenda akafanya vizuri boss akamwambia anampa week 1 ya kujifunza na kwakuwa anakaa mbali atakuwa anapatiwa hela ya usafiri kila siku anapotoka kazini pesa...
0 Reactions
2 Replies
95 Views
Mpaka sasa huwezi kuelewa huyu waziri wa nini, huyu ni mtumishi wa nini. Tokea siku ya Oktoba 29 imefikia polisi ndio anacheo kuliko JWTZ. Tuje kwa msemaji wa serikali yani sasa kawa msemaji wa...
2 Reactions
1 Replies
76 Views
Hii mafa JF wekeni pin kabisa.Tokea October 29 2025 mpaka sasa kama shuguli za serikali zimeamisha kuwa shuguli za propaganda,matumizi ya ovyo kwenye mamlaka,mda mwengi kujisafisha na kuumbuka...
7 Reactions
8 Replies
179 Views
1. Unaanza kuwafurahisha watu kuliko kumtii Mungu. 2. Unatumia muda mwingi kwenye simu kuliko kwenye maombi au kujijenga. 3. Unaanza kuona dhambi kuwa jambo la kawaida. 4. Unapoteza amani kwa...
5 Reactions
6 Replies
125 Views
Kadri muda unavyoenda ndivyo ninavyozidi kuelewa namna uchumi na tabia za wanunuzi zinavyobadilika. Kwenye biashara kuna dhana mbalimbali zinazofundishwa, moja wapo ikiwa ni "Ignorance of...
2 Reactions
4 Replies
123 Views
Nimeumia sana kusoma hii habari ya Mwalimu Melkisedeki Kitunzi Kaijage ambaye ni Mhadhiri Mwandamizi wa chuo kikuu UDOM. Kaijage anafundisha somo liitwalo Government and Politics in Tanzania (PO...
9 Reactions
21 Replies
525 Views
Ni zaidi ya mtumwa nizaidi ya mfungwa Ni zaidi yaaaa Mtu una maduka matatu na ni bosi lakini unashinda dukani kama ndondocha/msukule Muda wote unakaa unawaza kulipa watu mishahara unajinyima...
3 Reactions
7 Replies
489 Views
Huyu bwana ni moja ya vijana ambao walihamasishwa kufukuza wageni nchini afrika kusini,ili mamlaka zote za kibiashara zilizokuwa zikimilikiwa na wageni waziachie na wazawa ndiyo wawe wamiliki...
9 Reactions
18 Replies
410 Views
Kauli ya Brandon Gill, Mbunge wa Marekani, kwamba “Uislamu haukuja Marekani kupitia jahazi la Mayflower, bali kupitia mfumo wa uhamiaji wa kujiangamiza” si kubeza historia tu ni onyo. Onyo...
9 Reactions
37 Replies
532 Views
Hili jambo nimelikumbuka,,,, Hapo zamani za kale kulikuwa na miradi mbalimbali iliyokuwa chini ya serikali.,,,kama vile NAFCO... kwa kifupi sijui ilikuwaje kuna jamaa akawa General Manager kwenye...
1 Reactions
0 Replies
103 Views
Wengine uona siku za umuhimu kwenye maisha yao ni siku aliyoolewa au kuoa, siku aliyojenga nyumba, SIKU MBILI MUHIMU KWENYE MAISHA YAKO ni siku ya kuzaliwa na siku uliyojua kwann umezaliwa WATU...
1 Reactions
0 Replies
82 Views
Magonjwa yanayoongoza kwa unyanyapaa duniani na hasa Afrika Mashariki ni pamoja na: 1. VVU/UKIMWI Bado ndilo gonjwa linaloongoza kwa unyanyapaa. Watu wenye VVU mara nyingi wanatengwa, kupoteza...
1 Reactions
2 Replies
119 Views
Daudi alitenda kosa gani hadi Waisraeli 70,000 wakafa Hebu tuangalie maelekezo ya Mungu kuhusu kuhesabu Waisraeli. Kitabu cha Hesabu 1:1-3: 1 BWANA akanena na Musa katika bara ya Sinai, hemani...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Nielekeze jinsi ya kupost kwa anonymous post hapa JF
0 Reactions
3 Replies
119 Views
Back
Top Bottom