Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mko salama? Toka jumamosi nilikua na shida kama ya laki 5 hivi,kila rafiki niliyejaribu kumpigia aniazime anasema hana.mimi nikiwa nazo huwa ni mwepesi kutoa ila siku nikikwama sina msaada kutoka...
21 Reactions
55 Replies
730 Views
Nipo katika hali ambayo inanifanya niwe najiuliza maswali mengi, na mwisho wa siku najikuta najijibu mwenyewe. Wakati mwingine nahisi labda ni wivu au ni kutokujiamini tu. Kabla sijamuoa mke...
3 Reactions
24 Replies
311 Views
Nimeona hawa jamaa wameweka tamasha lao la kumbukizi ya miaka 30 ya bongo fleva siku ya nane nane. Hivi hawajui hiyo siku itakuwa ni siku ya maandamano? Na siku hizi watu maandamano wanachofanya...
3 Reactions
9 Replies
229 Views
Watu kumi wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza wakikabiliwa na mashtaka mazito ya Ugaidi kwenye Kesi ya Kiuchumi Namba 1 ya mwaka 2026. Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP)...
2 Reactions
3 Replies
156 Views
Hata ndugu au mtu unayemfaham amefanya x rays zaidi ya tatu? HOJA SI WANASEMA HULETA SARATANI BAADA YA MUDA FULANI
2 Reactions
2 Replies
93 Views
Siku Moja nilienda hospitali ya Taifa Muhimbili nikasema nataka nipimwe mwili mzima, nikaulizwa Bro umeuza ng'ombe?😄😄
4 Reactions
15 Replies
406 Views
Tanzania imeendelea kuporomoka kwenye demokrasia ikiwa ni pamoja na uhuru wa kitaaluma kwa kupata alama-49% ikiongozwa na nchi kadhaa Africa kama vile Mali na Uganda. Academic freedom reflects...
3 Reactions
7 Replies
191 Views
Wakuu Leteni hoja Ini ndo lina dili na sumu vipi hizi za mitaani
8 Reactions
52 Replies
785 Views
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), inapenda kuzitaarifu Kampuni,Taasisi za Kifedha, Ofisi za Wanasheria na wadau wote kuwa huduma za uwasilishaji wa usajili wa haki ya dhamana kwenye...
1 Reactions
0 Replies
89 Views
Wakuu hii hali imekuwa hatari. Hakuna cha binamu, sijui mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo.. yaani vijana wanatafunana hatari. Hii sio sawa. Zamani ukisikia mabinamu wametafunana inakuwa jambo la...
14 Reactions
56 Replies
2K Views
Nimeamua kushirikisha uzoefu wangu nilioupata Musoma Mjini ili nipate maoni ya wanajamii na pia kuona kama kuna wengine wamewahi kupitia hali kama hii. Mnamo tarehe 19 Juni 2026 nilisimamishwa na...
3 Reactions
3 Replies
181 Views
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa, amechangia hoja iliyoibuliwa na mdau katika jukwaa la JamiiForums.com kuhusu wimbi la watoto wadogo...
1 Reactions
2 Replies
115 Views
Anonymous
Nimekutana na changamoto na askari wa usalama barabarani (Traffic Police) jijini Dar es Salaam mara kadhaa. Kwanza, mara nyingi wanakuwa hawana mashine za kutoa risiti. Kila siku utasikia...
0 Reactions
1 Replies
176 Views
Anonymous
Nimekagua gari yangu kwenye mfumo wa Polisi unaonesha nina faini ya ubovu wa gari, faini hiyo imepigwa Mlandizi ndani ya wiki tatu zilizopita wakati sijawahi kufika kabisa na gari, pia kwa muda...
2 Reactions
6 Replies
312 Views
Utu umepotea Sana duniani wanachofanyiwa ndugu zetu ukweli kinauma Sana Siku hizi Nairobi Rais Ruto Alipokuwa trump pamoja na ubabe wake wake ila ndani yake Kuna hisia za kikatili Sasa...
1 Reactions
6 Replies
128 Views
Kila siku jua huchomoza na kuzama kwa utaratibu usiobadilika. Mwezi hupitia hatua zake kwa mpangilio maalumu mpaka kuhesabu miezi na miaka kuwezekane. Hakuna mwanadamu aliyeyaumba wala...
2 Reactions
4 Replies
149 Views
Jumamosi iliyopita nilienda kuzika msiba mmoja pale ununio Aise nilichokiona sijui n marafiki wa marehemu ama ndugu wa marehemu vibinti miguu kama yangu vimevaa vinguo vifupi kama wako sinza...
11 Reactions
43 Replies
696 Views
Habari wana JF Naomba kupata uelewa wa mfumo wa makazi wa NaSA. Nina mtoto ananiuliza hiyo kitu wanasema inahitajika katika maombi ya mkopo chuoni, sasa sielewi ndio nini, mwenye uelewa anielekeze
1 Reactions
18 Replies
5K Views
Anonymous
Katika Daraja la Kijazi Ubungo watembea kwa miguu wanapata kero kubwa, kwanza njia za kupita zimebanwa sana pia humohumo bodaboda wanapita, Kwenye zebra crossing unakuta Bajaji imepaki katikati...
1 Reactions
3 Replies
201 Views
Back
Top Bottom