Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Mimi ni dereva Bajaj kupitia Taksi Mtandao, juzi nilimfuata mteja maeneo ya Msimbazi A kumpeleka Fire, pale Sheli (kituo cha mafuta). Nalipofika nilipark pembeni nikawasha double hazard, wakaja...
0 Reactions
0 Replies
86 Views
guest-1787677726
Na baada ya Taifa la Poland kutangaza kupiga marufuku kujengwa kwa Misikiti "Mosques" ,Na kupinga kupiga adhana basi nchi nyingi za Ulaya zimeanza kufuata nyayo hizo. Na nchi kama Uingereza watu...
2 Reactions
21 Replies
440 Views
Simsikii kabisa, alifia wapi? Aifanya mauza uza kweye kesi ya Mbowe https://sautikubwa.org/kesi-ya-mbowe-jaji-tiganga-atoa-uamuzi-wenye-ukakasi-aahirisha-kesi-mara-tatu/ Jaji ameshaingia...
1 Reactions
3 Replies
206 Views
Askari Polisi wa Bahi wanasumbua jamani, hakuna usimamizi wa sheria unaoendelea bali ni rushwa na usumbufu mkubwa kwa madereva wanaotumia barabara hiyo, wao Askari wanakagua leseni vyeti na barua...
2 Reactions
3 Replies
95 Views
Halmashauri ya Wilaya ya Urambo imefuatilia taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii katika ukurasa wa Jamiiforums ikidai kuwa "Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Kata ya Itundu hafiki kazini"...
1 Reactions
1 Replies
84 Views
Anonymous
Tumehitimu mafunzo ya udereva wa Daraja E katika Chuo cha VETA KAGERA ila sasa ni karibu miezi mitatu hatupati vyeti wala majibu ya kueleweka. Leseni zetu zimeisha tunategemea vyeti hivyo...
1 Reactions
1 Replies
101 Views
Anonymous
Watumiaji wa Barabara ya Ipoipo kwenda mpaka Kihonda Sekondari hapa Morogoro Mjini, iliharibika baad aya awali kuwa na lami, Serikali ikachimbua-chimbua kipindi Mwenge unakuja Morogoro na kuiacha...
1 Reactions
3 Replies
118 Views
Swali linahusiana na miayo na chafya. Kwa kawaida watu hupiga chafya na miayo(yawning) kwa kwenda mbele laki mbona sijawahi kusikia redion mtangazaji akipiga chafya? Au kwenye tv hata kama kuna...
2 Reactions
16 Replies
230 Views
Umeme umekata saa moja ya leo. Nawashauri ndugu zangu mtakaonunua mishumaa hakikisha mnaiweka sehemu salama na ukimaliza kutumia zima tu ulale. Usije ukaweka karibu na viti vya makochi, karibu na...
9 Reactions
31 Replies
587 Views
Hii nchi mtu akipata teuz bas anaona wale walio nje ya mfumo n mafala TU hawana kitu Amesahau kampen za 2025 chama chake kilichangisha pesa kwa ajil ya uchaguz na WATU wakachanga lakn hakutoka...
1 Reactions
1 Replies
86 Views
Changamoto ya watoto kutumikishwa shughuli mbalimbali hadi nyakati za usiku, siyo kwenye kuuza mayai tu, lakini pia hadi katika sekta ya dukani pia kuna watoto wadogo wanafanya kazi hadi saa 16...
0 Reactions
1 Replies
74 Views
Hapo nyumbani kwenu au kwako kuna kauwanja ka 20ft sqd, maji na shimo la taka? Najua kapo. Tafuta 50k tu ili konyagi isikupite. Lima hako kasehemu uweke kitaru kutumia hiyo mbolea ya shimo la...
9 Reactions
62 Replies
975 Views
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili MOI inashiriki kwa mara ya pili katika Maonesho ya Elimu ya Juu yanayofanyika viwanja vya Gombani, Pemba kwa lengo la kuwafahamisha wananchi juu ya...
0 Reactions
1 Replies
64 Views
Bodaboda tunapopeleka abiria SGR Asubuhi mara nyingi wanatukamata kisa tunashusha abiria nje ya eneo la jengo lao pale, wanatoa maelekezo kuwa wanataka tushushe ndani ya eneo la maegesho lililopo...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Tkenolojia, Prof. Adolf Mkenda amekabidhi Vitabu vya Dini ya Kiislamu (EDK) kidato cha Sita kwa Baraza Kuu la Waisalam wa Tanzania (BAKWATA), Ofisi ya Mufti Mkuu...
0 Reactions
15 Replies
199 Views
#KURASA Hivi karibuni wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, waligomea kwenda mahakamani kusikiliza na kufuatilia kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu...
0 Reactions
12 Replies
183 Views
Naona huu ni mwanzo, magumu na mazito yanakuja hapo mbeleni umejiandaaje? Biashara haziendi pesa imepotea, thamani ya hela haipo/haionekani na watawala wameamua kuwafanya wananchi wake wapumbavu...
4 Reactions
2 Replies
111 Views
Watu 13 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza leo, Julai 23, 2026, wakishtakiwa kwa kosa la kushiriki mikutano ya kigaidi, kinyume na Sheria ya Kuzuia Ugaidi pamoja na Sheria ya...
1 Reactions
7 Replies
197 Views
Leo, Julai 22, 2026, JamiiAfrica imetembelewa na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Charlotta Ozaki Macias kwa lengo la kuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini. Balozi Charlotta...
14 Reactions
12 Replies
244 Views
Back
Top Bottom