Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,445
Kuna wadudu wafuatao wakikukamata wanakunyoosha kweli kweli je umewahi kukumbana na yupi kati ya Hawa?
Chawa,
Viroboto
Kunguni
Funza/vitekenya
Kwa upande wangu Nina historia ya kunguni kipindi nipo o level aisee hao viumbe ni balaa wale tuliopitia maisha ya kukaa hostel nadhan tunafahamu muziki wa hao wadudu 😂
Wadudu hao walipelekea Hadi wakati wa likizo nikifika nyumbn lazma kwanza nipewe nguo nikabadilishie nje bafun kabla ya kuingia🙌
Vipi wewe mwenzangu una kumbukumbu ya mdudu yupi?