Hii ni kwa waliofika mitaa ya ushuani Dodoma kwa hivi karibuni.
Naishi dsm, lakini nimeishi dodoma 5 years back, nimekaa Arusha na Mwanza pia.
Sikatai Dar ndio baba lao kwa Tz kwenye vitu...
Sio jambo la kuweka jina ila nitaeleza kwa ufupi miaka ya JK huyu msanii alianza kutamba haraka na nyimbo zake na bado kijana.
Kuna kisa kimoja ambacho ni mtu aliwahi kuniambia alishawahi kufika...
Mmilik wapunda
Punda chawa
Pubda
When the master finds the right donkey, the work gets done. When the donkey finds the right master, the journey becomes easier. But when the master chooses the...
👉Askari wa kituo kidogo cha polisi Mkugwa wabaini mchezo mchafu wa mapenzi baina ya walimu na wanafunzi.
👉Mwanafunzi akiri kufanya mapenzi na mwalimu kwa hofu ya kunyanyaswa shuleni.
👉Mkakati wa...
Soko la Hisa Dar es salaam limevamiwa rasmi na matapeli wa Kimataifa.
Hawa matapeli wanaweka Page za Insta na Fb na wanataka ufuatw link wakufundisgw namna ya kununua Hisa.
Hawa matapeli hakuna...
Hivi mpaka sasa, bado kuna Watanzania wanaotegemea kuni na mkaa kwa ajili ya kupikia?
Swali hili linaweza kuonekana rahisi, lakini linaigusa moja kwa moja hali ya nishati ya kaya nyingi nchini...
Hii ni kauli dume sana, rafiki yangu kanitamkia, sikujua kama anafahamu hilo..
Habari za majukumu wakuu.
Nimeona niandike au kushare kidogo juu ya wema rafiki yangu amenifanyia na anaendelea...
Mimi ni mkazi wa Newala -Mtwara, kila Mara Tumekuwa na changamoto ya kukatika umeme , tunashindwa kufanya kazi zetu zinazotumia umeme; mda mwingine siku mbili mfululizo bila kupewa taarifa yoyote...
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Dkt. Ayub Rioba, ametetea utendaji wa chombo hicho cha habari cha umma dhidi ya ukosoaji kuwa kinairipoti zaidi serikali kuliko...
Utoaji Wa Huduma wa Wahudumu wa Afya kwenye Vituo vya afya nchini ni wa udhalilishaji na kutweza utu Wa Wagonjwa/Wahitaji wa huduma ya afya,
Si Sawa Mama Mjamzito kupimwa njia au Kuzalishwa na...
Kituo cha Police Mkata Kitengo cha Usalama Barabarani kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa maadili ya kazi yaani rushwa pale ni halali yao kabisa ndio sehemu wameona pakupatia hela ukio-overtake pale...
Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia (WHC) ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kilichoanza Julai 19, 2026 kinaendelea jijini Busan katika Jamhuri ya Watu wa...
Kumekuwa na ongezeko la watu wanaodai kuwa Dunia si duara bali ni bapa (flat). Ningependa kusikia kutoka kwa wanaoamini nadharia hiyo.
Maswali yangu ni haya:
Mnasemaje kuhusu mchana na usiku...
Akili Bandia (Artificial Intelligence - AI) haijaja na bunduki wala vita vya wazi, bali imeingia taratibu kupitia vioo vya simu zetu. Wakati wengi wakisherehekea urahisi unaoletwa na AI, kuna...
Taa hizo za kuongezea magari na Watembea wa Miguu eneo la Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mbeya (Catholic University of Mbeya - CUoM) zina wiki sasa hazifanyi kazi licha ya kwamba bado ni mpya kwani...
Katika pitapita zangu nyumbani kwenye albamu nikaja kukutana na hii picha ya UWANJA WA JANGWANI aisee nilipatwa na simanzi nzito nilipoona huu uwanja kwani kuna kumbukumbu ilinijia kipindi hicho...
Umeme ulianza kukatika na kuwaka mara kadhaa usiku wa manane, ilipofika alfajiri umeme ukapiga baibai my sani, ndiyo kwaheri hiyo haujarudi. Je, huko kwingine umeme upo? Kwa hali hii hayo maonesho...
Balozi Mobhare Matinyi (wa tano kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya ETDCO, ambayo ni kampuni tanzu ya TANESCO waliokuwa ziarani nchini Algeria. Kulia...
Kaya 470,195 zilizokuwa masikini wa kutupwa, zaaga umasikini, zajitegemea
Watu wanaomiliki makazi bora nao waongezeka, fedha TASAF zikiongezwa
Ni mwendelezo hatua za kusaidia familia masikini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.