Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 509
- 489
Kaya 470,195 zilizokuwa masikini wa kutupwa, zaaga umasikini, zajitegemea
Watu wanaomiliki makazi bora nao waongezeka, fedha TASAF zikiongezwa
Ni mwendelezo hatua za kusaidia familia masikini hadi kwenye elimu ya juu