Nchi yetu na dunia sasa inalazimisha amani ila sio haki.
Ndoa nyingi ukichunguza ni neno haki yake kwa sababu umempangia.
Sasa hii haki imefikia mpaka maoni ya ndoa .
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Dkt. Ayub Rioba, amefunguka kuhusu changamoto za uripoti wa habari za vyama vya upinzani na kuweka wazi kuwa chama cha CHADEMA...
Simanzi imetawala kwa familia ya Karen Remi (22) ambaye ni Mkazi wa Arusha baada ya kupoteza Watoto wake watano aliowajifungua njiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru.
Kwa mujibu wa...
Bank gani kila mara changamoto?
Leo NMB mobile siku nzima hakuna mtandao. Na si mara ya kwanza. Mimi binafsi ninechoka, nitahamisha mshahara wangu bank inayojielewa, maafisa utumisha watake...
Habari
Umri wangu 33 ni babu kabisa katika mikakati ya ujana , ujana unaishia wallah
Sasa katika hali sio ya kawaida nakatiza Kona mitaa ya kinondoni napokea salamu Kwa sauti nyororo na raini...
Madereva wa magari ya masafa marefu wameeleza kutoridhishwa na utaratibu unaowalazimu kurejea darasani kila wanapohitaji kuhuisha leseni zao za udereva, wakidai kuwa mafunzo hayo yanajirudia na...
Habari wakuu.
Ni miaka 5 sasa imepita tangu mara ya mwisho kuwepo katika mji wa Songea,ukweli ni moja ya miji midogo Tanzania ambao ulinivutia sana na kupenda maisha ya pale. Nimewahi ishi miji...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza amedai kuwa kuna tafsiri mbili zinazopingana za hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Syria ilifikia mpaka kila mtu uhuru wa kuhoji ulikosekana.
Siku moja watoto waliandika "Samia must go" .Kilichotokea walitekwa na kuumizwa sana na ndio mwanzo wa nchi ilipofikia hapo.
Kwa haya...
Wanabodi
Mimi mwanabodi mwenzenu ni muumini wa Kanisa Moja Katoliki Takatifu la Mitume,nikiabudu katika Parokia ya BMMH (Bikira Maria Mama wa Huruma) Mbezi Beach DSM, leo wanampokea kwa kishindo...
Salaam ni makelele. Kwa africa tulikofikia ni ngumu kumeza. Sasa hivi africa kila nchi inapigana kivyake. Wengne wakishinwda kupambana na serikali wanabaki kulumbana wenyewe kwa wenyewe kama sisi...
Katika mambo yanayoshangaza sana nchini ni ubutu wa Tume ya Ushindani wa Kibiashara nchini (Fair Competition Commission, FCC). Kuna mambo mengi sana nchini yanafanywa na wafanyabiashara kwa...
Ikiwa mtu kama balozi Polepole alitekwa na mpaka leo Samia na serikali yake hawana majibu, Ally Kibao aliuawa na serikali ikasema kifo ni kifo tu, nasasa magaidi ya CHADEMA yanakamatwa kila...
Habari za w'end wakuu
Niende moja kwa moja tu bila chenga, akili imewaza ila sijapata mwafaka.
Thread zangu za nyuma zinaweza kuwa reference ya kile nachopitia, anyway:
Wakuu nipo mjini DSM na...
Uislamu haukuanza leo, wala Qur'an na Sunnah havikushuka kwa kizazi chetu. Allah Aliwachagua Maswahaba wa Mtume ﷺ kuwa mashahidi wa wahyi, wakajifunza moja kwa moja kutoka kwa Mtume ﷺ, wakauelewa...
Uchumi wa mwanafunzi chuoni nile ile hela anayokuwanayo kwa kila sku aipatapo.Huu uchumi wake umekuwa katika sehem mbili tegemezi au kutoka kwake mwenyewe.
Kwa yule anaetegemea ni rahisi sana...
CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimesema ingawa wahitimu wengi wa kidato cha sita wanajiunga na elimu ya juu wakiwa na matokeo mazuri ya mitihani wengi wao wana changamoto kubwa tatu.
-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.