Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

https://youtu.be/MzS86O1jLx0?si=DZyT_-Wo1bG5Yax-
1 Reactions
0 Replies
29 Views
Mwili wa mtoto Vaileth Soka (13) aliyefariki dunia kwa kudaiwa kujinyonga umeagwa katika mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa ajili ya kusafirishwa kwenda Kibosho Umbwe...
9 Reactions
106 Replies
2K Views
Kifo kinatisha; kifo hakina huruma; kifo hutenganisha wapendanao, lakini kwa bahati mbaya, siku ikifika hakuna anayeweza kukikwepa. Akionyesha hofu ya kifo alipokuwa na bendi ya Orchestra...
26 Reactions
325 Replies
74K Views
Wakuu, heshima kwenu. Lengo langu siyo kushambulia wala kudhalilisha, bali nikujaribu kuangalia uhalisia wa masuala ya ibada katika maisha halisi na matokeo yake. Tangu nikiwa kijana mdogo...
0 Reactions
2 Replies
85 Views
Ushawai kujiuliza kwanini baadhi ya watu wana nguvu, heshima, ushawishi na nafasi ya kubwa katika jamii. Basi ipo hivi Dunia haijaumbwa kuwaheshimu watu dhaifu, kwa hiyo pambana ili uheshimike...
6 Reactions
2 Replies
117 Views
Kutwa Serikali kupitia Wizara pamoja na TACAIDS mlikuwa na Kampeni yenu ya Kupinga Unyanyapaa kwa Watu walioathirika na VVU. Sasa kama ile Kampeni yenu ilitumia Mabilioni ya Fedha kupitia Vyombo...
2 Reactions
5 Replies
204 Views
Mbunge wa Jimbo la Chaani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud, amesema juhudi za kuboresha ustawi wa wananchi na kupunguza changamoto za kiuchumi...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
1. Ndugu Mafwele 2. Ndugu Muliro 3. Ndugu Abdul Nalionba sana jeshi letu liwalinde hawa raia kwa wivu mkubwa, ili awamu ijayo watusaidie kuwatafuta ndugu zetu waliopotea. Nawasilisha.
2 Reactions
6 Replies
116 Views
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Dkt. Ayub Rioba, amekanusha madai kuwa chombo hicho kilipokea shinikizo kutoka kwa viongozi wa juu wa serikali ili kukaa kimya...
0 Reactions
4 Replies
164 Views
Tuambizeni ukweli hizo tozo na Makato hasa kwenye umeme yamezidi... Unanua umeme wa 5000/= Unapata unit za 3800/= Kuna Makato kibao rea,Vat,ewura Kwa sitaili hii kujiajiri Ni ndoto TUWENI TU...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani huu ni mtazamo wangu tu. Mimi napenda sana magroup ya classmates sana sana na ya kazini pia nayapenda uzuri ya kazini hawana tabia kama ya classmate wako sawa tu..haya ma-group yanatupa...
2 Reactions
8 Replies
223 Views
Yn 14:23 SUV [23] Yesu akajibu, akamwambia, Mtu akinipenda, atalishika neno langu; na Baba yangu atampenda; nasi tutakuja kwake, na kufanya makao kwake. Kila mmoja mpaka kufika umri alionao sasa...
1 Reactions
0 Replies
58 Views
Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakilalamika kuibiwa pesa zao katika harakati za kutafuta ajira. Kutokana na uhaba wa ajira mtu anakuwa tayari kutoa chochote ili apate kazi jambo ambalo baazi ya...
2 Reactions
2 Replies
126 Views
Mnanyima ndoto na uhai kwa wengine kupelekea mifadhaiko kwa wanae huku nyie mkirudi nyumbani mkiwakombatia watoto wenu kwa furaha na bashasha
0 Reactions
3 Replies
76 Views
Usifanye vitu kwa lengo la kuwafanya watu wakutambue au wakuheshimu, kwa sababu heshima ya kweli haitafutwi kwa kujionesha bali hujengwa na tabia, uwezo na matendo yako ya muda mrefu. Wakati...
1 Reactions
0 Replies
106 Views
https://youtu.be/kJloHrho_Jc?is=JWA9dzvhq86FE_Yj
0 Reactions
3 Replies
78 Views
Tujitafakar! Wafia dini wengi wanaamini ndoa ni agizo la Mungu kwa watu wake sasa iweje wengine waoane na wengine wasioane? Na kwanini serikali ziingilie NDOA wakati tayari ni agizo la Mungu...
0 Reactions
7 Replies
150 Views
Back
Top Bottom