Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wanawake wengi walio olewa na matajir au wenye uchumi mzuri hunufaika kiuchumi zaidi pindi wanaume zao wanapokufa Huku mtaani tunashuhudia wamama,wanawake wakiachiwa biashara,makampuni,majumba na...
0 Reactions
3 Replies
35 Views
ARUSHA Wasajili wa Hati Wasaidizi kutoka mikoa mbalimbali nchini wametakiwa kutumia mifumo ya kielektroniki ikiwemo e-Ardhi na e-Office katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuongeza ufanisi...
1 Reactions
4 Replies
51 Views
Pole nyingi ziwaendee wafiwa. Ukiangalia kwa umakini zaidi hili tukio, utagundua ndugu KWEKA ni shujaa, amepeleka ujumbe mzito kwa wanawake wenye tamaa na wababaishaji kwenye taasisi ya ndoa...
35 Reactions
300 Replies
3K Views
Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inapenda kutoa ufafanuzi wa changamoto ya huduma ya Maji katika mtaa wa River view katika eneo Goba iliyorepotiwa hivi karibuni...
0 Reactions
1 Replies
58 Views
Kuboresha huduma za ardhi na kurahisisha upatikanaji wa hati za umiliki ni sehemu muhimu ya juhudi za Serikali za kuhakikisha wananchi wanapata huduma kwa ufanisi na kwa kuzingatia taratibu...
0 Reactions
0 Replies
21 Views
Hi, I used to think that reading was boring until I found books that really sparked my interest. Reading became important to me because it’s fun and it teaches me new things. It keeps my mind...
137 Reactions
4K Replies
438K Views
Haiwezekani viwanja siku hizi havikai kabisa, watu tumeweka mpaka reminder alarm inaita kuchungulia kwenye App kila kiwanja ikiclick mzigo unaload masaa ukicancel request ukarefresh kimebebwa...
2 Reactions
15 Replies
235 Views
Bagamoyo inaandaliwa kuwa kituo muhimu cha viwanda, biashara na ajira kupitia Bagamoyo Eco-Maritime City, huku Serikali ikilenga kutumia fursa za uchumi wa bahari kuimarisha uwekezaji, kuongeza...
4 Reactions
14 Replies
174 Views
Wanamgambo machachari waislam wa madhehebu ya Shia tawi la Zaydi, wameamua kujenga Kaaba yao wakiifananisha na ile ya Makkah na kuanza kuabudu kwa kusujudu na kubusu. Kitendo hicho kimewaumiza...
16 Reactions
77 Replies
1K Views
Watanzania waliopata fursa ya kutoa huduma mbalimbali katika Mkutano wa 153 wa Mabunge duniani (IPU) unaofanyika Arusha Tanzania wamesisitiza umuhimu wa kutunza amani nchini ili Tanzania iendelee...
0 Reactions
2 Replies
23 Views
Diana Sajilo. Siku chache kabla ya kifo chake, Diana Edward Sajilo alikuwa na mambo mawili yaliyokuwa yakimkabili kwa wakati mmoja; kwanza maandalizi ya mitihani na kutafuta fedha za ada ili...
12 Reactions
150 Replies
2K Views
  • Redirect
Vyanzo mbalimbali kutoka Zimbabwe ikiwemo kutoka kwa muandishi mkubwa nchini humo Hopewell Chin'ono @daddyhope2 vinaripoti kuwa; Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ambaye leo alisafiri kwenda...
3 Reactions
– Replies
– Views
Mahali ulikopachoka na unawaza kuacha kazi kwa notisi ya saa 24, mwingine ndio anaomba Mungu amsikie apate hapo kazi ya ndoto zake. Mpenzi unayemfanyia vituko ukitafuta kila sababu ya kuwa mbali...
0 Reactions
1 Replies
24 Views
Simu yangu imegeuka kuwa kheri sasa. Haizipiti dakika tano bila kupokea jumbe kutoka Kwenye mitandoa ya simu au makampuni ya Kubeti n.k ikiwa sija option kuweza kupata hizo sms. Nawezaje...
1 Reactions
14 Replies
155 Views
Wakati bado unasubiriwa uchunguzi kuhusu tukio la kinyama lilomkuta mwandishi wa habari wa itv na radio one Ufoo Saro,taarifa nilizozipata kutoka kwa ndugu wa marehemu Atery Mushi,ni kuwa marehemu...
18 Reactions
283 Replies
44K Views
Hatimaye, wajumbe wanaondoka Arusha, lakini kumbukumbu ya ukarimu, amani na uzuri wa Tanzania inabaki kuwa sehemu ya simulizi yao kuhusu nchi hii. #IPU2026 #IPUArusha #Tanzania #Arusha...
1 Reactions
1 Replies
45 Views
Baada ya kutoka nyumbani kuanzia safari ya maisha ya chuo nilikua mbali na nyumbani. Nikaanza ishi sehemu tofauti nikipanga chumba kama kawaida asilimia kubwa wamama wote walio nipangisha nyumba...
14 Reactions
154 Replies
2K Views
Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara...
3 Reactions
9 Replies
128 Views
Kwa yeyote mwenye mapenzi na documentaries kuhusu maisha ya wanyama au watalam wa mambo ya wildlife mnisaidie kwenye hili. Kuna channel maarufu inyoitwa NatGeoWildAfrica HD iliyoko king'amuzi cha...
1 Reactions
18 Replies
248 Views
Zile hela za washirikina hazipo watu tukalie mihogo kwa mama mnene rip. Hali ni mbaya sikuhizi waganga hawatoi zindiko kwa kutupa pesa njia panda. Mshana Jr
7 Reactions
13 Replies
141 Views
Back
Top Bottom