Ukwerli mchungu ambao wengi wanaukwepa, lakini unaharibu maisha, ndoto, na nguvu kazi ya wanaume wengi katika jamii yetu.
Tunazungumzia thamani ya jasho la mwanaume na hitaji la haraka la...
Kadri siku zinavoenda Mtandao ya kijamii inaonekana kutokuwa sehemu salama kwa watoto kutumia bila usimamizi, kwani wanaweza kukutana na maudhui hatari au yanayoweza kuwaathiri.
Nchini Marekani...
Wadau naomba msaada,nataka kusajiri kampuni inayotoa huduma zaidi ya moja katika uhandisi,yani BIOMEDICAL,ELECTRONICS,TELECOMMUNICATION NA IT Engineering,lakini mfumo wa BRELA,unaruhusu huduma ya...
Hellow jamii, ni matumaini yangu mko poa na wazima wa afya njema sana. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwajili ya hilo.
Guys, katika pita pita zangu vyuoni na taasisi mbalimbali nimekuwa nikiiskia hii...
Umoja wa Ulaya (EU) na Ujerumani wamezindua mradi wa uchumi wa buluu wenye thamani ya TSh bilioni 49, unaolenga kuimarisha sekta ya uvuvi, bandari na matumizi endelevu ya rasilimali za bahari...
Mradi wa Sinovest Industry katika Bagamoyo Special Economic Zone (BSEZ) unaendelea kwa kasi, ukiwa na uwekezaji wa Dola milioni 50 na eneo la mita za mraba 210,080. Kiwanda hicho kinatarajiwa...
Mimi ni fundi seremala kutoka Shinyanga Mjini. Mnamo tarehe 17 Agosti 2023, nilipewa kazi na Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO) wa Shinyanga Mjini ya kutengeneza samani, zikiwemo viti, benchi, meza na...
Habari za usiku wadau,
Jamani samahani naombeni kuuliza kwa wenye taarifa za sasa kuhusu gharama halali na halisi ya Affidavit kwa mtu asiye na cheti cha kuzaliwa maana kuna vijana wangu...
Wako kwenye hatua za mwisho za kuhakikisha kila mwalimu mwenye sifa anapewa leseni na atapaswa kuilipia kiasi cha shilingi laki 1 na 20 elfu.
Kuwa na leseni ni sahihi kabisa ila hiyo ada bila...
Wananchi wa Wilaya ya Chemba mkoani Dodoma wameeleza kufurahishwa na kasi ya utoaji huduma za ardhi kupitia Kliniki ya e-Ardhi inayoendelea wilayani humo, wakisema huduma hiyo imepunguza muda wa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri va Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, amewasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam, kumwakilisha Rais...
Wataalumu wa mionzi wanahatarisha maisha yao sana ukilinganisha na madaktari au manurse mionzi ni hatari kwa afya inaweza kusababisha saratani na mazingira magumu ya kazi unaweza kupangiwa kituo...
Katika Shule ya Msingi Kituli, Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza (KE) alifanyiwa ukatili wa kubakwa, lakini Mwalimu Mkuu alificha suala hilo kwa kuhofia kupoteza...
Mimi kila nikitazama mbele sioni kama nitatoboa na hatimae kuingia paradiso.
Nimekaa nikafikiria na kuwaza sana Mungu atakuwa na faida Gani iwapo atatuchoma moto wa Milele?
Na vipi tulio tiyari...
Nimefikiria sana hao watoto wake jinsi wanavyokuja kuja kua madoni hapo baadae.halafu sasa nika imagine mzee wangu kama akitangulia jinsi nitakavyoteseka maana hana kitu zaidi ya makoti.Daah...
Nimelipia kifurushi cha Azam TV tarehe 5 Oktoba 2026 kwa kiasi cha Sh28,000 kupitia Azam Pesa. Muamala unaonyesha kuwa malipo yamefanikiwa kikamilifu, lakini Azam TV wanadai kuwa fedha hizo...
Hivi ni hayo makebo yao makubwa na sura za kutmbeka ndio zinawapa hamsha hamsha mnachanganyikiwa?
Moja ya kitu ambacho kimedondosha wanaume wengi ni "USHAMBA WA MAPENZI"
Wakuu, habari za majukumu. Hakuna anayeweza kubisha kuwa jukwaa hili la JamiiForums limekuwa kimbilio letu kubwa la kupata habari mbadala ambazo mara nyingi hazipati nafasi kwenye vyombo vikuu vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.