Naona watanzania hamko serious kabisa na rasilimali zenu, kwakuwa Samia amesema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, mimi nataka kuwa dalali wa rasilimali za nchi.
Nawezaje kuanza kuwaleta...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Wakili Keneth Roja Nkiko, mwenye umri wa miaka 28 na mkazi wa Mwigobero, kwa tuhuma za kumuua Magreth Hamisi Richard, mwenye umri wa miaka 22, mkazi wa...
Kuna vitu ukivipoteza, huwezi kuvipata tena hata ukiwa na pesa.
Wakuu, nimekuwa nikifikiria jambo hili. Maisha yanatufundisha kucheza na vitu vingi kwa sababu tunaamini vinaweza kurudi.
Pesa...
Matukio ya kikatili na ya mauaji yanazidi kuongezeka. Visa ni vingi sana. Kuwa na mali na uwezo wa kiuchumi ni vizuri sana ila visigeuke kuwa tishio la uhai wako.
Tamaa zinawamaliza wengi. Ndio...
WATU WAPUNGUZE KUJITOA KUPITA KIASI KWENYE MAPENZI
Kuna watu wamefikia hatua ya kujiua au kuuana kwa sababu ya mapenzi. Lakini ukweli ni kwamba binadamu si wakamilifu, na hakuna anayehakikishiwa...
Kama unafikiri wewe ni mdogo sana kiasi cha kutoweza kuleta mabadiliko au athari duniani... jaribu kulala chumba kimoja na mbu mmoja tu!" — Dalai Lama.
Hebu fikiria hili:
Binadamu ana uzito wa...
Nyoka wana mfumo mkali sana wa kunusa (kupitia ulimi wao na kiungo kinachoitwa Jacobson's organ), hivyo huwa wanajiepusha na mimea yenye harufu kali au inayochoma.
Hapa kuna orodha ya mimea na...
Tukio la kuhuzunisha la bwana Laurent Kweka kumuua mke wake Janepher kwa kumpiga risasi imeleta simanzi na kutawala vichwa vya habari kila mahali hasa mitandao ya kijamii.
Sasa rasmi nimeamua...
Rais wa Wabunge Wanawake wa IPU, Cynthia Lopez, amemtaja Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mfano wa uongozi wa wanawake duniani, akisisitiza umuhimu wa wanawake kushiriki na kuongoza katika...
Kesi za wanaume kuua wake zao kwa kuwapiga risasi Marekani zimekuwa nyingi sana.
"Kweka" hao kwa Trump wakishaua wake zao wanageukia watoto kuwaua halafu baadaye nao wanaelekeza mtutu nakujiua...
Kuna malalamiko kuhusu baadhi ya watumishi wa Kituo cha Afya Mbandе, kilichopo Wilaya ya Kongwa, Dodoma, kutembea na dawa kwenye mabegi na kuwalazimisha wagonjwa kuzinunua.
Aidha, watumishi hao...
Swali ili ni sawa na kuku na yai nani wa kwanza.
Ukitafuta maana zake:
Fikra ni mchakato wa akili wa kutafakari, kuchambua na kuunganisha mambo.
Wazo ni kitu kinachojitokeza kutokana na mchakato...
Hii ni risiti sijui niseme karatasi ambayo inaonesha Bodaboda alikamatwa tarehe 28 Septemba 2026 na Askari wa Jiji katika Mitaa ya Kariakoo wakati akishusha abiria.
Sasa hii ndiyo risiti kweli ya...
Mshauri wa Rais kuhusu Afya ya uzazi na afya ya Mama, Ummy Mwalimu amesema Afrika imepiga hatua katika kupunguza vifo vya kina Mama ambapo ameongeza kuwa Suala la Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
At some point you need to accept that for you to discover your full potential family has to pull back so that you can learn to fly on your own but don't be fooled to think that water will make you...
Wakuu....
The LORD is good!¡
Kwa warle vegetarian wanaruhusiwa kurrrla samaki na dagaa, na vipi kuhusu senene....
Vegetarian kama mmo humu nipene mwongozo mimi little boy nifanye decission...
Huyu jamaa aliwahi kunifundisha Tuition pale kwa Demtatuzi( naye ni marehem) boma Kama unaenda msimbazi.
jamaa alikuwa anafundisha physics na chemistry tu, alikuwa akisema hawezi kufundisha somo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.