Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aliyeangalia kifo cha mwanadada baby love nchini haiti aliyeuawa kikatili kwa mapanga na nice B nipe mrejesho hali ikoje baada ya kuitazama video
0 Reactions
6 Replies
69 Views
Ukihitaji salamu suburi kwanza nilewe, tofauti na hapo utaambulia chuya! Kiranga ana asilimia kubwa kuurithi uzima wa milele kuliko watu wengi wanafiki!. Narudia tena "Kiranga anazo asilimia...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Najiuliza sana hili fundisho lililopo Kwenye uislamu na ukristo la wenye dhambi kuchomwa milele kwenye moto wa jehanum, logically haliingii akilini. Kwasababu 1)Mungu anajua kila kitu, kama kabla...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama. Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa...
6 Reactions
24 Replies
311 Views
Ukweli mchungu ila tutafute chanzo cha haya yote. Utawala wa JPM kulipitishwa sheria mbovu kupita kiasi hata huko ulipo pole pole,nchimbu,ndungai,tulia na CCM zina watafuna wenyewe. Hii ya...
4 Reactions
15 Replies
103 Views
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa...
138 Reactions
495 Replies
113K Views
Elizabeth Milaho, Mratibu wa program kutoka Akili Tulivu Initiatives amekuwa miongoni mwa vijana wa kitanzania waliopata fursa ya kutoa wasilisho kuhusu masuala ya changamoto ya afya ya akili...
0 Reactions
1 Replies
41 Views
SIFA YA MZALIWA WA KWANZA; MWANAUME ANAWEZA KUWA NA WAZALIWA WAKWANZA HATA ISHIRINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sifa namba moja ya mzaliwa wa kwanza ni kuwa wakwanza kwa Mama aliyemzaa...
2 Reactions
2 Replies
70 Views
Kuwa tetea wapalestina ni ngumu sana. Nashangaa wale mnaona wa palestina wanaonewa ila waungwana wanasema ukitaka kujua tatizo likaribishe sio kulisikia. Mifano mikubwa ni: Jordan (1970–71)...
0 Reactions
3 Replies
49 Views
Kuna mambo waamini mungu huwa wanalazimisha na kuyatetea tu lakini hata wao wenyewe kwa akili za kawaida tu walipaswa kujua sio sawa 1. Kuhukumu/ Kulaani watu (watoto na wajukuu) kwa makosa...
1 Reactions
3 Replies
46 Views
UKIWAZA DUNIA IMEKOSEWA AU HAIJAKAMILIKA UJUE TAYARI UMEYABANANGA. DUNIA IKO PERFECT ASILIMIA MIA MOJA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Ukishasikia mtu anakuambia dunia hii haijakamilika...
5 Reactions
46 Replies
236 Views
Maisha Hayana Mapambo: Ukweli Usio Na Filter Unapokuwa Mzee Kadiri muda unavyosonga mbele, maisha yanafunguka kwa njia ambazo mara nyingi hatutarajii, yakileta masomo na uzoefu ambao hutufanya...
7 Reactions
7 Replies
519 Views
Anonymous
Kwa miaka yangu mitatu niliyokuwa hapa chuoni nimeona Walimu wetu wakionyesha dharau na kutosimamia majukumu yao sawasawa na kwa wakati. Miaka yote kumekuwa na tatizo la kuchelewa kwa matokeo...
12 Reactions
21 Replies
1K Views
Kuna wanaume unakuta wananepa nyuma ya shingo tu, wanakuwa na nundu kama ya ng'ombe au ngamia.
1 Reactions
4 Replies
55 Views
Wafanyabiashara wenye utajiri mkubwa Kanda ya Kaskazini Familia ya Mengi IPP Group Utajiri: Zaidi ya USD milioni 200 Ridhuan Mringo Derm Group Mwanga Hakika Bank Utajiri: Zaidi ya USD milioni...
2 Reactions
2 Replies
70 Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema umesikitishwa na taarifa za kukamatwa kwa wafanyakazi watatu wa Baraza la Wanawake Wafugaji (PWC), shirika lisilo la kiserikali...
0 Reactions
2 Replies
78 Views
Yaani mtu akiwa mwembamba bongo ataonekana hana hela, hana maisha mazuri.. Ila watu wa namna hii wanaonekana wamejipata, Ila kwa wenzetu hii inatafsiriwa kama obesity yaani ugonjwa wa nyama...
14 Reactions
111 Replies
1K Views
Haiwezi isha siku moja bila kukatiwa umeme hapa Wilaya ya Masasi, kila siku wana matengenezo, hawajali kama ni siku za kazi au siku za kiuzalishaji zinaendelea, Tunaweza kaa bila umeme siku 3...
1 Reactions
6 Replies
434 Views
Si huduma ya Yesu ya kwenda sehemu mbalimbali, pamoja na madai ya kwamba aliwaponya watu, alifundisha kwa hekima na kufanya miujiza mikubwa, ambayo ndiyo msingi mkuu wa dini ya Kikristo. Badala...
1 Reactions
3 Replies
28 Views
Back
Top Bottom