Unakuta so called mwandishi wa habari anaandika.
1. Msiba mkubwa watokea
2. Kimeumana Mabibo
3.Heche amaliza kazi
4. Kimenuka
5...and much more of this type!
Uandishi wa so called waandishi wa...
Sijui kama kuna professional therapists wa ndoa (LMFT) Tanzania ila hawa ndio watu sahihi wa kwenda endapo ndoa imefika kuwa na matatizo makubwa.
Watu waache kupoteza muda kukimbilia sijui kwa...
TARIME, MARA: Kaimu Mthamini Mkuu wa Serikali, Bw. Chiremeji R. Kome amewataka wananchi ambao maeneo yao yanapisha mradi wa ujenzi wa Bwawa la TSF la Mgodi wa North Mara wa Barrick kuheshimu...
Mahakama ya Mkoa wa Lindi imemhukumu Nurdin Mwanga, mkazi wa Mnolela, kwenda jela miaka 30 baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumbaka Mwanafunzi wa Sekondari mwenye umri wa miaka 16.
Hukumu hiyo...
Wasalaam,
Nimewaza jambo moja, Je Tanzania inaweza kujifunza kutoka kwenye mfumo wa majimbo wa nchi kama Marekani (federalism), na kuutengeneza kwa mazingira yetu?
Sisema tuige Marekani 100%...
MWANAMKE ANAONGOZWA NA HISIA ZAIDI KULIKO AKILI.
MAPENZI NI HISIA..
Mwanamke akikupenda AMEKUPENDA KWELI na utajua kuwa unapendwa hata kama wewe hutaona basi walioko pembeni ndugu jamaa na...
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imeweka kambi ya huduma za papo kwa papo katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii wa Sanaa na Utamaduni yanayofanyika katika viwanja vya General Tyre...
Wakuu, nimekuwa nikitafakari jambo moja kuhusu maisha ya binadamu.
Kwa nini watu wengi wanapokuwa peke yao hukimbilia simu, mitandao ya kijamii, vijiwe au kutafuta mtu wa kuzungumza naye, hata...
Twiga na Nyoka ni miongoni mwa wanyama ambao mara nyingi hawasikiki wakitoa sauti kama Simba au Tembo... lakini hilo halimaanishi hawawasiliani! 🤫
Je, wanawasilianaje? 🤔 fuatilia hadi mwisho...
Ukitaka timu yako ishinde unaweza kumhusisha Mungu. Jee ikishinda ni sawa kumshukuru Mungu na ikishindwa ni Mungu wa kulaumiwa?
Ukifanya biashara ni sawa kuhusisha Mungu, kama mizani yako haipo...
Kuna jambo limekua likinifanya nijiulize kuhusu maisha yetu katika kizazi hiki.
Leo mtu akifungua Instagram, TikTok au Facebook, anaona watu wakisafiri, wakinunua magari, wakijenga nyumba na...
Spika wa Bunge la Afrika Kusini Angela Thokozile Didiza akizungumza katika mkutano maalumu wa ngazi ya juu wa kundi la Afrika la IPU alimtaja na kumpongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa...
Wahitimu wa shahada ya uuguzi kutoka UDOM wanakabiliwa na changamoto ya incomplete kwenye matokeo yao ya mwaka wa pili hali inayosababisha matokeo yao kucheleweshwa TNMC na hivyo kukosa uhalali wa...
Baada ya hoja ya Mdau ambaye aliandika = Vijana tulioshiriki Mkutano wa LCOY Tanzania 2026 Dodoma tumepigwa, tumebaki na madeni ufafanuzi umetolewa kutoka kwa wahusika.
Taarifa ya Ufafanuzi...
Inasikitisha sana, naandika huku kama nataka kulia kwa uchungu.
Yule kijana wa morogoro amekaa zake dukani kapigiwa simu, kaka wahi kwako wanatoa vitu ndani watu wa mkopo, jamaa kafunga duka...
Ndugu zangu Watanzania,
Nikiri wazi kuwa Tangia nimepata fahamu vyema mpaka hapa nilipofika sijawahi kushuhudia Tetemeko kali la Ardhi kama nililoshuhudia usiku huu wa manane. Ni Tetemeko...
Habari Wakuu,
Ni muda sana nimekuwa nikipitia hii hali na inaniumiza sana nimeona nishare hapa ili niweze kupata ushauri wenu.
Nina jirani yangu ambaye hatuna mazoea sana ila anafahamu kazi...
Habari Wakuu,
Ni muda sana nimekuwa nikipitia hii hali na inaniumiza sana nimeona nishare hapa ili niweze kupata ushauri wenu.
Nina jirani yangu ambaye hatuna mazoea sana ila anafahamu kazi...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amezungumza na wawakilishi wa Kampuni za SpaceX na Starlink kuhusu uwekezaji wa kampuni hizo nchini Tanzania katika sekta ya mawasiliano na teknolojia.
Kikao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.