Makamu wa Raisi kujiuzulu nini chanzo?

Makamu wa Raisi kujiuzulu nini chanzo?

Joined
Aug 18, 2026
Posts
21
Reaction score
12
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Emmanuel Nchimbi, ametangaza uamuzi wa kustaafu siasa na utumishi wa umma.

Nchimbi amesema leo, Agosti 25, 2026, amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha kuhusu uamuzi huo pamoja na nia yake ya kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais.

Amesema kujiuzulu kwake kutaanza rasmi tarehe 4 Septemba 2026, akieleza kuwa amefanya uamuzi huo kwa kuzingatia matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nchimbi ameeleza kuwa tarehe 27 Agosti 2025 alimuahidi Rais Samia kuwa angemsaidia yeye na taifa kwa uwezo wake wote na kwa uaminifu, huku akiahidi pia kuachia nafasi hiyo endapo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine wa Rais.

“Nimejiridhisha pasipo shaka kuwa Mhe. Rais anatamani mabadiliko, hivyo nimeamua kutimiza ahadi yangu”, amesema Nchimbi.

Aidha, amemshukuru Rais Samia pamoja na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa imani waliyoonyesha kwake, huku akiwashukuru Watanzania kwa ushirikiano waliompa wakati wote aliokuwa katika utumishi wa umma.

Nchimbi amesisitiza kuwa pamoja na kustaafu siasa na utumishi wa umma, ataendelea kuwa raia mwema wa Tanzania.

#KitengeUpdates
 
ametangaza wapi??acha uzushi
 
Naamini sio kwa hiyari yake kwa huyu mama anayeamini mitutu ya bunduki na umwagaji damu ndio solution ya kila kitu
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Emmanuel Nchimbi, ametangaza uamuzi wa kustaafu siasa na utumishi wa umma.

Nchimbi amesema leo, Agosti 25, 2026, amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha kuhusu uamuzi huo pamoja na nia yake ya kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais.

Amesema kujiuzulu kwake kutaanza rasmi tarehe 4 Septemba 2026, akieleza kuwa amefanya uamuzi huo kwa kuzingatia matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Nchimbi ameeleza kuwa tarehe 27 Agosti 2025 alimuahidi Rais Samia kuwa angemsaidia yeye na taifa kwa uwezo wake wote na kwa uaminifu, huku akiahidi pia kuachia nafasi hiyo endapo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine wa Rais.

“Nimejiridhisha pasipo shaka kuwa Mhe. Rais anatamani mabadiliko, hivyo nimeamua kutimiza ahadi yangu”, amesema Nchimbi.

Aidha, amemshukuru Rais Samia pamoja na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa imani waliyoonyesha kwake, huku akiwashukuru Watanzania kwa ushirikiano waliompa wakati wote aliokuwa katika utumishi wa umma.

Nchimbi amesisitiza kuwa pamoja na kustaafu siasa na utumishi wa umma, ataendelea kuwa raia mwema wa Tanzania.

#KitengeUpdates
Amekataa kuwa sehemu ya utawala dhalimu
 
Ni aibu sana kwa SAMUYA.

Safi sana Nchimbi ,umefanya jambo jema ,kuwa makini sana na watu maana wanaweza wakapita na wewe.
 
Udini tu. Ndani y CCM n serikali yake chura.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hamna lolote hapo. Danganyeni watoto wadogo na wakubwa ambao kichwani zimepungua.

Huyo Hawezi kuachia kiti kupitia Instagram. Ni lazima, akitaka kujiuzuru, aitishe press live.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom