UKIACHA WABUNGE,KUNDI JINGINE LINALOILA KEKI[emoji3057][emoji506] YA TAIFA KISAWASAWA NI HILI HAPA...
Wasalaam,
Nawasalimu kwa Jina la JMT...
# Kazi na Iendelee
Ndugu zangu WaTanzania,wakati...
Lisilowezekana kwa wanadamu kwa Mungu Linawezekana
Siku ya leo nilikuwa katika maombi kwa ajili ya watumishi wa Mungu ambao wamekuwa wakipitia katika changamoto mbalimbali za kidunia.
Moyoni...
Jamani madogo hasa new members acheni hii tabia ya kuingia inbox za watu kuanza na Bro naomba hela ya kula.Ukienda inbox za watu 100 ukitegemea mmoja atakutumia pesa hiyo siyo sawa.
Pesa...
Natambua kuna kundi la wamarekani weusi wanajiita Foundational Black Americans ( FBAs) , hawa ni " CULT" ambao wana amini kwamba mababu zao ( watumwa weusi walio tumikishwa kwenye utumwa)...
Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, lililopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani, tunaomba msaada wa Mkuu wa Mkoa kufuatia ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa ushuru...
Chembechembe za plastic(microplastic) ni moja ya vitu hatari kwa afya. Huleta kansa na pia kuathiri hormones mwilini, hasa za uzazi.
Chembe hizi hutokea hasa chombo cha plastiki kikipigwa na moto...
Hapa Ifakara Kuna HAKIMU anaitwa Minja ni mwanamama mwenye dharau sana. Anawatangazia watu waje saa mbili asubuhi yeye anakuja saa 5 alafu akifika anakaa ofisini Hadi saa 9 ndio mnaanza kuitwa...
Kuhusu ubovu wa barabara ya Babati kwenda Singida kuanzia pale Dareda mission. Barabara ni mbovu Sanaa yani nu mara 700 rough road kuliko ile barabara yani mashimo ni makubwa na hakuna jitahada...
Salaam
Hawa jamaa siku hizi wanapenda sana kuchukua sheria mkononi ,jioni hii kuna gari ndogo Carina Ti iligonga boda boda sijajua ni bahati mbaya au vipi basi jamaa wakaanza fujo kiasi cha...
Habari,
Naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu barabara ya kutoka Mpanda Mjini kwenda Kijiji cha Itenka katika Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi.
Barabara hii imeharibika sana na haijafanyiwa...
Hii serikali unaguzi hauishi.
Wote na degree moja, ila mwingine kapewa nyumba, ana posho /hela ya nauli na mshahara wa moto.
Wewe uko na basic ya 1.2m na unavimbishiwa na boss, mkuu wa hidara...
Habari zenu matumaini ni wazima wa afya
Niende Moja Kwa Moja mwenye mada Mimi ni ke ninahitaji kuzungumza jambo sio kwamba nimeharibika ila nimekua na presha na mawazo kazini na ninahitaji mtu...
Wakuu katika hali ya kujikwamua kimaisha kwa sisi waajiriwa saving ni muhimu sana.
Kwa sisi ambao hatuna posho yeyote ni mshahara tu ni changamoto kwa kweli, sasa mimi katika dodoso zangu...
WanaJF! Kwema? Moja kwa moja niende kwenye Mada.
Mdogo wangu kapata kazi ya Uhandisi ya Mkataba TARURA ila pia kapata Kazi Permenent HALMASHAURI.
TARURA atapata kama 2M na marupurpu mengine kwa...
Waziri unayehusika na mazingira,
Tafadhali okoa ardhi ya Tanzania kwa kuhakikisha unapunguza uchafuzi wa mazingira kwa taka hatarishi za plastiki na vifaa vya kielekitroniki.
Nina uhakika miaka...
Maisha ya wakazi takribani 59,939 wanaoishi katika Kata za Magadu, Mafisa na Chamwino ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro yako katika hatari kubwa ya kiafya kutokana na kukithiri kwa...
Tunza mwili wako, akili na roho. Jipe muda wa miezi 6 ili uwe na mazoea ya kufanya mazoezi ya kujitunza na kujipenda.
Tumia simu kwa kiwango kidogo sana na kwa mambo muhimu tuu
amka mapema fanya...
Sina ya kuongea mengi ila maandalizi yameanza na mtaambiwa kuwa znz ndio walikuwa wanampigania samia kipindi cha uganda kipindi cha mwalimu vita ya kagera.
Watawekwa wanawake wengi wengi kwenye...
Njoo Iringa kwenye machai. Tunza tiketi YA BASI nauli unarudishiwa ukifika.
1.nyumba bure
2.maji ya uhakika
Vigezo
1. Miaka 18+
2. Uwe na NIDA namba au cheti cha kuzaliwa au kadi ya mpiga kura au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.