Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ukisikia viongozi weusi utaona wanatajwa sana Mandela, Nkrumah, Lumumba et al. Nyerere unakuta si maarufu sana kwenye majukwaa ya kimataifa, lakini kuna kiongozi kaipambania Africa kumzidi...
2 Reactions
5 Replies
86 Views
Alipopewa tu U-waziri mkuu akajua vile viatu vya JPM au kassimu anaviweza. Mwisho wa siku kawa yule yule na tabia zake. Ile siku anajisema yeye ni kama JPM.
11 Reactions
22 Replies
566 Views
Nchi za East africa zingekuwa na akili mpaka ile Sudani ya Kaskazini nayo kuwa na mafuta .Umoja huu ungekuwa nchi zenye nguvu na matajiri wa kutisha kwa kila rasilimali. Leo Libya iliyochukua...
0 Reactions
5 Replies
118 Views
Je, kuna mwanasayansi yeyote mtanzania ambae ni zao la vyuo vyetu, maabara zetu hasa UDSM ni kina nani hao?
10 Reactions
61 Replies
969 Views
PADRE WABANHU ATEULIWA KUWA MAKAMU MKUU WA CHUO CHA SAUT Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), ambaye pia ni Kansela wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania (SAUT), na...
9 Reactions
25 Replies
557 Views
Kumekuwa na ongezeko la manabii hapa nchini hao manabii walitabiliwa wapi na nani aliwatabiria kuwa watakuja kuwa manabii? Hakuna popote kwenye maandiko ya torati hata angano la kale kwamba...
1 Reactions
8 Replies
116 Views
Fumau mashairi ni shabiki wa yanga, wapenzi wa mpira wa miguu wa hapa nyumbani nadhani tuna mfahamu. Juzi kati kafungiwa kwenda viwanjani, tuyaache hayo. Fumau alikua na mahusiano na Binti Mmoja...
1 Reactions
8 Replies
153 Views
Apocalypse ni neno la asili ya Kigiriki (apokalypsis) lenye maana ya ufunuo, kufunuliwa au kuwekwa wazi kwa jambo lililofichika. Mfano leo uwezi kufanya uwovu alafu ukasema ule sio uwovu na wala...
0 Reactions
4 Replies
121 Views
Habari kila mwanachama humu... mimi niko salama kabisa na naendelea na majukumu yangu ya kujenga taifa kama ilivyo ada. Humu jukwaani, na si humu tu, bali hata mitaani kwa kweli mapokezi ya fursa...
20 Reactions
207 Replies
3K Views
Issa Tambuu ni mnafiki sana. Kwenye maisha epuka kuwa na ukaribu na watu aina ya Issa Tambuu. Wengi huwa wanajifunika na kivuli cha udini lakini nyuma yao wanayoyafanya wao na Mungu wao ndio...
9 Reactions
37 Replies
621 Views
Bondia wa Uganda, Aziz Abdul, ambaye ni mjukuu wa aliyekuwa rais wa Uganda Idi Amin, aliondolewa kwenye mashindano ya Commonwealth Games baada ya kupewa adhabu ya kutolewa nje kufuatia kitendo cha...
1 Reactions
0 Replies
98 Views
WANAUME WENGI WAKIKUCHOKA HUTAMANI UWA-CHEAT ILI WAKUFUMANIE KISHA WAKUFUKUZE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Tena ukute ndio mama wa nyumbani, beki Tatu, huna kazi wala kipato. Kwenu...
7 Reactions
55 Replies
518 Views
Kesi zote za mwananchi wakawaida hutumika mawakili binafsi(privet) au ajipambanie mwenyewe sasa wale mawakili wa serikali wao wanamtumikia nani?
0 Reactions
8 Replies
110 Views
SAIKOLOJIA YA HASIRA NA UFALME WA MUNGU "A Rhapsody For Kingdom Anger Management Strategies" Amani Na Salama 🙏 Mimi sijambo na Karibu. MASWALI YA KUJIULIZA. 1.Umewahi kuwa na hasira? 2.Huwa...
1 Reactions
2 Replies
297 Views
Kuna dada alileta mada hapa jukwaani akisema bikira ni overrated, na moja ya sababu zake ni kuhoji mwanaume anaanzaje kuoa mwanamke wa kijijini kisa tu ni bikira, akiamini kuwa hamtaendana kwenye...
1 Reactions
1 Replies
80 Views
Ninaumia sana kila ninapokumbuka kuwa "nikitolewa kila kitu nilichojifunza na kufundishwa ninayebakia ni Mimi" kauli hii inanifanya nijione kama nimejidhulumu sana katika maisha yangu. Ulishawahi...
4 Reactions
7 Replies
177 Views
Kuna msemo unasema, hakikisha unachagua upande Usiwe vuguvugu Kama ni moto, kuwa moto Kama ni baridi, kuwa baridi Japo watu wengi husema usijulikane kirahisi, ila tambua kuna hasara ya...
11 Reactions
156 Replies
1K Views
Wanacho jisahau CCM na Jaji mkuu wanahisi mwisho kukutana na maswali ni hapa ndani nchini. Mahakama zetu na jaji mkuu ili muwe na sifa kesho mfano mumeenda mkutano wa majaji duniani ukaulizwa...
0 Reactions
0 Replies
32 Views
Siku ya kupatikana katiba mpya inaweza kuondoa raisi kuwa na kikosi kama chake. Kwa afrika kinatumika vibaya ukilinganisha na nchi kubwa. Rais anapounda kikosi chake ina maana anaweza kumuweka...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Imetokea Kenya. Watu ni walewale tofauti ni eneo tu.
7 Reactions
83 Replies
1K Views
Back
Top Bottom