Siku ya kupatikana katiba mpya inaweza kuondoa raisi kuwa na kikosi kama chake.
Kwa afrika kinatumika vibaya ukilinganisha na nchi kubwa.
Rais anapounda kikosi chake ina maana anaweza kumuweka...
Watu wana rahisisha sana, mjiajiri, ukimcheki yeye bado kagomea ajira kutwa kusotea teuzi, hahahaaaa.
Nioneshe biashara ya professor lipumba, iliyo tetemesha ukanda wa kibiashara ili nikusikilize...
Miongoni mwa mtihani mzito kwa wazee waliopo kwenye vitengo nyeti ni jinsi ya kuwa propaganda vijana wasomi wasio na ajira na hata siasa za kiunyerere kwa zama hizi ni ngumu kukubalika
Katibu mkuu wa Baraza la Mawazi Zambia Bw. Patrick Kangwa ametembelea banda la Tanzania katika Maonesho ya 98 ya Kilimo na Biashara Zambia na kupongeza uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya Afya...
Yaani unakuta mtanzania anakaribia miaka 35 na anasema ana akili timamu lakini eti hajawahi kufika Namanyere.
Hivi inakuaje mtu unakaa sehemu Moja, unazaliwa hapo unakufa na kuzikwa hapo...
Tanesco mjitafakari unaweza kata umeme toka saa12 asubuhi mpaka saa mbili usiku eti unarekebisha miundo mbinu hamnaga namna ya kufanya part by part yaani muda wote huo bila haibu, mchana ni muda...
Habari wakuu nimeona post moja huko mtandaoni kumhusu nikashawishika kupata taarifa kumhusu huyu muhubiri/mchungaji aliyekuwa anaitwa Moses Kulola,
Nasikia juu juu tu kwamba ni mchungaji ambaye...
Wiki hii kumeanza tena ule usumbufu wa kijinga na wa kila mwaka wa kusimamisha watu barabarani ili kuwakagua sticker za wiki ya nenda kwa usalama barabarani.
Sasa kama ilivyo kawaida yetu hapa...
Source: Time Magazine Why Gen Z Is Drinking Less
Hata baa huko marekani zinaanza kufanya marekebisho ili wawarudishe gen x maana walikimbia pubs baada ya kuboreshwa kuwakabilisha gen z, ila gen z...
Zamani nikiwa nakua nilikua siishi kusikia matukio ya ujambazi na uporaji..na watu kuuawa na mali zao kuibiwa..lakini miaka zaidi ya 10 au zaidi sasa sijasikia tukio la watu kufanya uporaji wa...
katika Uislamu uchawi na kuroga (sihr), Qur'ani na Hadithi nyingi za vitabu zinakataza kabisa kujihusisha na masuala ya uchawi, au kwenda kwa waganga kwa ajili ya kuroga, au kutumia nguvu za...
Wilaya ya Mbarali Mbeya kuna changamoto ya umeme yapata Miezi 6 sasa, changamoto inayosumbua ni low voltage (umeme kukosa nguvu) hii inaathiri baadhi ya nyumba lakini kwa wamiliki wa viwanda yaani...
Mimi ni mkazi wa Ulongoni A karibu na Bar ya Magogoni, Mtaa unaitwa kwa Makamba Jijini Dar es Salam hapa Ilala upande Kinyerezi, kero yangu ni umeme kukatika katika kila mara ifikapo saa moja...
Kama kichwa cha habari hapo juu. Kuna rafikiangu kwa sasa ni marehemu alikuwa anasaidia yoyote mwenye tatizo la macho,hasa ile hali ya mtoto wa jicho au hata jicho linaloanza kuwa na uoni hafifu...
Tafadhalini sana naombeni msaada wa tiba juu ya nguvu za kiume, umri wangu ni miaka 24 , nimetumia dawa za kisuni na kwa waging ila bado naona tatizo linazidi, kusimamisha tu ni kazi hata asubuhi...
Juzi nilikuwa na programu ya kufatilia wafuasi wangu _ Juu ya magonjwa ya pressure
Huyu kijana nilipofika kwa Account yake, Alisema yeye hana pressure " Tulibishana chart ninazo maana kila...
Mimi kuna ile tabia unakuta mtu anaongea na Loud Speaker kwenye simu yaani basi zima mtu anaongea yeye tu. Binafsi nakwazika sana.
Hata kama unaongea kwanini usiongee kwa sauti ndogo? Wasukuma...
Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo na wevi huvunja na kuiba. Bali jiwekeeni hazina mbinguni, kusikoharibika kitu kwa nondo wala kutu, wala wevi hawavunji wala hawaibi.
(Kwa kuwa...
Leo nikiwa napita kwenye mitandoa, nikakutana na mtumishi mmoja ambaye yeye alielezea anavyofanya juu ya Sadaka yake ya Fungu la Kumi
Yule dada alisema fedha yake ya fungu la kumi anaweka bank na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.