Tunza mwili wako, akili na roho. Jipe muda wa miezi 6 ili uwe na mazoea ya kufanya mazoezi ya kujitunza na kujipenda.
Tumia simu kwa kiwango kidogo sana na kwa mambo muhimu tuu
amka mapema fanya...
Sina ya kuongea mengi ila maandalizi yameanza na mtaambiwa kuwa znz ndio walikuwa wanampigania samia kipindi cha uganda kipindi cha mwalimu vita ya kagera.
Watawekwa wanawake wengi wengi kwenye...
Njoo Iringa kwenye machai. Tunza tiketi YA BASI nauli unarudishiwa ukifika.
1.nyumba bure
2.maji ya uhakika
Vigezo
1. Miaka 18+
2. Uwe na NIDA namba au cheti cha kuzaliwa au kadi ya mpiga kura au...
Ninakero yangu, mkoa wa Pwani Bagamoyo Tanesco ni Kero, nimelipia kuhusu kuunganishiwa umeme tangu mwezi wa nne mwanzoni 2026 hadi sasa hawajaniunganishia, kila nikiwapigia mwanzo walisema siku 30...
Malalamiko kuhusu utoaji wa huduma za dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Tandahimba
Wananchi tunalalamikia hali ya utoaji wa huduma za dawa katika Hospitali ya Wilaya ya Tandahimba, kwa kuwepo...
Nikiwa muumini wa Mungu, naiomba Serikali iangalie upya mfumo wa usajili na usimamizi wa baadhi ya makanisa. Badala ya kuwa sehemu ya kutatua changamoto za jamii, baadhi yamekuwa kero kutokana na...
Kuna movie 🎦 nimetoka kucheki inaitwa trancedence (2014)...
Kwenye hiyo movie jamaa Wali tumia nano technology ku implant human consciousness kwenye sever za internet kwa kutumia quantum...
Wakati mwingine huwa tunawalaumu Machifu Waafrika waliokuwa wanakamata Waafrika wenzao na kuwauza kama watumwa kwa Waarabu na Wazungu ila tungepata nafasi ya kuwasikiliza huenda walikuwa na sababu...
Wana bodi, nimepata taarifa ambazo sijaweza kuzithibitisha moja kwa moja kuwa muuza madawa ya kulevya maarufu sana magomeni mapipa ajulikanaye kwa jina la Beka (beka range) ameng'ang'aniwa na...
Siku ya leo nilikuwa naelekea kufanya deposit. Kwa bahati mbaya nilichanganya masifuri, hivyo nikajikuta nimebeba kiasi kikubwa tofauti na nilichokuwa nimekusudia kuweka kwenye akaunti...
Wanataaluma wamepitia katika kumbo la wakati ambao historia imewaachia jeraha kubwa la fedheha juu ya kile kinachoitwa uhuru wa kufikiri. Uhuru pekee wa wanataaluma na nafasi muhimu ya maisha ya...
Naziomba mamlaka za Mkoa wa Singida zitusaidie watumiaji wa Barabara ya Singida - Arusha kuboresha kipande kilichopo Manispaa kuanzia NBC Banki hadi kwenye jiwe lililopo katikati ya barabara...
1. Mkulima ukimwambia aache kulima aanze biashara hatakuelewa
2. Mwizi,jambazi au muuaji haachi mpaka siku anakamatwa 3. Malaya,mzinzi,mla wake za watu haachi mpaka akamatwe au aukwae ukwimwi...
Ilikuwa mwaka 1998 mwezi wa tatu ambapo baba yangu alikumbwa na balaa zito lisiloelezeka kirahisi.
Kwanza kabisa, baba yangu alikuwa anapendea sana kuvaa kanzu, na ni mara chache sana kumkuta...
Wakuu habari zenu?
Ni vigezo gani vitumike vunatumika kuhitimisha kwamba fulani katoboa? Uzi huu unalenga kuwatia moyo wale ambao pengine wanaelekea kukata tamaa ilhali kwa vigezo vya walimwengu...
Usiwashangae wamorocco kuvamia Spain, zaidi ya wamorocco 3000 wameingia Spain Kwa kuvuka bahari, licha ya Morocco kufahamika Kwa mazuri yake, ni Moja Kati ya nchi ambayo ni tofauti na nchi zetu...
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia vyombo mbalimbali vya Habari imepokea taarifa kuhusu uvunjwaji wa maendeleo ya wananchi takribani 110 wa Kijiji cha Gezaulole Kata ya...
Kuna kiwango chapesa huwezi kufikia bila kuwa na spiritual stamina
yes Ni kweli. Kuna hatua za mafanikio ambazo akili, mikakati, na bidii peke yake haziwezi kukufikisha — unahitaji uthabiti wa...
Mi nitazungumzia kwa bara letu ,Siwezi kuzungumzia mpaka Asia.
Mumeona idadi ya wahamiaji haramu wakijaribu kuingia spain na hii rekodi ni kubwa kwa masaa 24.
Tuache wale wa kila siku.Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.