Hakimu Minja wa Mahakama ya Mwanzo Ifakara ajitafakari

mpogorohalisi

Member
Joined
Jun 11, 2025
Posts
12
Reaction score
24
Hapa Ifakara Kuna HAKIMU anaitwa Minja ni mwanamama mwenye dharau sana. Anawatangazia watu waje saa mbili asubuhi yeye anakuja saa 5 alafu akifika anakaa ofisini Hadi saa 9 ndio mnaanza kuitwa majina anahudumia mtu mmoja wengine wote mnapigwa tarehe nyingine.

Na muda ni uleule saa mbili na yeye anaingia saa 5 na anaitwa majina saa 9 anaahirisha na kupanga tarehe saa 9:30. Wenye mamlaka @mahakamakuu

Mkuu wa Mkoa Morogoro

Huyu mama anaharibu kazi za watu na hajali kabisa tunaomba mtusaidie wananchi wa ifakara. Mimi Leo mara ya 4 naahitishiwa shauri na HAKIMU yupo
 
Aadhibiwe huyo watu kama hao ni kero kabisa.
 
Mahakama ndiyo ipo pale karibu na Polisi kule kiungani km ni pale kweli anachelewa kuanza kesi
 
Andika barua ya malalamiko peleka mahakama kuu kwa judge incharge wa apo morogoro
 
Kashashiba rushwa uyo.

Kuna kipindi nilikua nafanya kazi kama legal officer aisee izo mahakama za chini zina upuuzi mwingi sana siwez kuelezea af incharge wengi ni wanawake. Poleni
 
Kashashiba rushwa uyo.

Kuna kipindi nilikua nafanya kazi kama legal officer aisee izo mahakama za chini zina upuuzi mwingi sana siwez kuelezea af incharge wengi ni wanawake.

Kama hapo ni kweli kuna kesi nilikuwa nafuatilia hapo, polisi nilishangaa watu wanalala kwenye ile miti mpk saa 9 huko ndiyo wanaanza kuitwa.
Mpaka tunakoma aisee
 
Kashashiba rushwa uyo.

Kuna kipindi nilikua nafanya kazi kama legal officer aisee izo mahakama za chini zina upuuzi mwingi sana siwez kuelezea af incharge wengi ni wanawake. Poleni
Kabisa tunaambiwa saa 2 tunaanza saa 8
 
Hii nchi kila sehemu ni kilio kwa watanganyika. Lakini uyo mzenji hana muda na sisi. Poleni
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom