Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mara nyingi siwaamini marubani Waswahili hawa Watanzania. Uwa na panda ndege mfano Emirates, au KLM au Qatar Airway's to DSM, najisikia comfortable nikisikia rubani akisema: "THIS IS CAPTAIN...
28 Reactions
132 Replies
16K Views
Ni wachache sana ambao wanapokea simu yeyote ngeni bila kuogopa Ni wachache sana wanaopewa appointment wakaenda bila hofu Ni wachache Sana wasiokuwa na wasiwasi endapo jamaa zao wakichelewa...
11 Reactions
26 Replies
3K Views
Ni mara nyingi sana mtu unabaguliwa lakini basi tu. Yaani unapanda treni ya mwendo kasi ukikaa kwenye siti wanahama wote. Nimejisikia vibaya sana aisee. Ni zaid ya kunyanyapaliwa
43 Reactions
352 Replies
42K Views
China inasafiwa kwa kupiga hatua kubwa za maendeleo ya kiuchumi lakini inaisfiwa zaidi kwa hatua kubwa na za haraka za uchumi na maendeleo yaliyomaliza umasikini wa watu wake hadi kuwa china ya...
2 Reactions
12 Replies
161 Views
Kuwa na Nywele Fupi au Ndefu Kwenye Ibada kwa Jinsia Zote Mbili Kumekuwepo dhana mbalimbali kuhusu hali ya nywele, wakati wa ibada. Majibu ya dhana hizo yanapatikana kwenye maandiko. JINSIA YA...
2 Reactions
4 Replies
671 Views
Anonymous
Mnamo tarehe 24 July 2026, mimi na mfanyakazi mwenzangu tulifanya malipo ya tiketi za SGR kupitia M-Pesa kwa kutumia control number tulizopewa. Fedha ziliondolewa kwenye akaunti zetu, lakini...
0 Reactions
0 Replies
99 Views
Kwa kweli ujenzi unafanyika pamoja na hali kuwa ngumu lakini ukitoka nje ya mji kidogo sites huku materilas yanasambazwa hadi unajiuliza hawa wennye sites zao hela wanapata wapi au...
6 Reactions
20 Replies
279 Views
Tengeneza fikra ya kujiona wewe ndio jua na kila kitu kinakuzunguka wewe Fanya kazi Wekeza kwa uwezo wako Epuka migogoro Tabu na mateso yapo hata ufanye nini LAzima kwa namna yoyotw tamaa...
2 Reactions
19 Replies
167 Views
Oyaa sikia.. wapi mwanangu dosho12 salimia sana mwanangu Harmful oya we Harmful salimia sana mwanangu Noma, Noma.. Nomadix Awee shem langu Ms R salimia sana mtotomzuriwa kuitwa waifu material...
28 Reactions
207 Replies
4K Views
Wakikuacha sehemu, wakidai kuwa hawawezi kwenda na wewe, Wakirudi hakikisha hawakukuti walipokuacha.
8 Reactions
26 Replies
247 Views
Mfano kama mke wako ni MOD wa JF, alafu kijamaa chake ni member humu, wewe father house utakagua simu yote ila wapi hauwezi kuta kitu, kumbe ndugu MOD anawasiliana na kijana wake wa JF na...
14 Reactions
73 Replies
1K Views
Karibu utembelee Banda la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) katika Viwanja vya Nanenane Njiro, jijini Arusha yanapofanyika maonesho ya 32ya Kilimo maarufu kama NaneNane yakiwa na Kauli mbiu...
1 Reactions
1 Replies
173 Views
Anonymous
Waziri Ridhiwani Kikwete alitangaza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ametoa vibali vya kupandishwa madaraja na vyeo kwa watumishi wa umma waliokidhi vigezo...
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Actually mi nasikiliza mziki wowote mzuri ila 95% ya nyimbo ninazosikiliza ni kutoka Marekani na Tanzania Kwa hapa Tanzania nasikiliza Bongo Flava, na singeli chache sana Kuna stereotype...
2 Reactions
5 Replies
160 Views
Habari wadau, Nianze na mzizi wa umaskini unatoka wapi: Na mzizi wa umaskini haupo katika aina ya kazi, haipo katika chanzo cha kipato. Uhusiano kati ya unachotengeneza na unachokitumia ndio...
7 Reactions
15 Replies
467 Views
Anonymous
Habari za muda huu, Wakazi wa Mzinga, Kongowe, Toangoma, Vikindu na Kisemvule ambao ni watumiaji wakubwa wa barabara ya Kilwa (Kilwa Road) tumekuwa tunakumbana na changamoto ya VUMBI ambalo...
3 Reactions
14 Replies
244 Views
Mkurugenzi wa Vodacom Business Nguvu Kamando, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu msimu mpya wa msafara wa Nyerere Cycling Tour (zamani Twende Butiama) utakaozinduliwa mnamo mwezi wa kumi...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Kuishi na wanadamu ni sanaa inayohitaji akili kubwa ya mtaani. Ukikosa hekima ya kutambua jinsi akili za watu zinavyofanya kazi, utajikuta kila siku unavunjwa moyo, unatumika, au unashushwa...
2 Reactions
3 Replies
134 Views
Ukienda pale kijijini kwetu, inakubidi uwe umechenji hela zako ziwe buku buku au buku mbili, Aise Wamezidi Kuomba, yaani usikutane na mtu anayekujua utasikia tu "We Kijana Wa Mama Flani ninunulie...
5 Reactions
23 Replies
334 Views
Macho hayafichi, tabasamu linaweza kufanya kazi ya kuku-brand ila macho yanabaki vile vile. Combination ya hurka yako na historia ya maisha yako ya nyuma hubebwa na macho yako. Makusudi yako...
0 Reactions
5 Replies
72 Views
Back
Top Bottom