Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,905
- 16,221
Actually mi nasikiliza mziki wowote mzuri ila 95% ya nyimbo ninazosikiliza ni kutoka Marekani na Tanzania
Kwa hapa Tanzania nasikiliza Bongo Flava, na singeli chache sana
Kuna stereotype imejengwa kuhusu singeli kuwa ni mziki wa wahuni, usio na maadili na hauna mashairi mazuri
Well, kwa baadhi ya singeli utakuwa sahihi lakini sio singeli zote zipo hivyo
Zipo singeli nyingi zenye maudhui mazuri na mashairi mazuri pia
Sio kweli kuwa wahuni ndio wanapenda singeli, mimi sio muhuni na singeli mojamoja nasikiliza just fine
Singeli ni mziki mzuri, na usiogope kusikiliza kama unapenda eti kisa millenials hawaupendi
Maisha mafupi sana kuanza kujali maneno ya watu, muhimu hauvunji sheria za nchi