Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Macho hayafichi, tabasamu linaweza kufanya kazi ya kuku-brand ila macho yanabaki vile vile. Combination ya hurka yako na historia ya maisha yako ya nyuma hubebwa na macho yako. Makusudi yako...
0 Reactions
5 Replies
72 Views
Hivi sehemu nyingi utakuta supu Mbuzi/Ng'ombe, kuku, samaki na pweza hata wanapouza kitimoto, sijawahi kuona supu yake inauzwa
5 Reactions
77 Replies
901 Views
Je, kuna madhara ya moja kwa moja ya mtu akiwa mlaji wa kitimoto? Naomba majibu.
7 Reactions
55 Replies
740 Views
Ni binti huyu mtoto wa 2000, nilimweka anisaidie dukani. Mishahara kwa maduka mengi ni laki hadi laki na nusu, mimi nampa 180k. Kila siku anachukua 5k, Nimeweka wifi dukani ya ttcl asiboreke...
5 Reactions
19 Replies
196 Views
Habari wakuu natumai mko poa kabisa ndugu zangu wahishimiwa wanabodi na kadhalika. Mimi ni yule yule wa siku zote mkazi sugu wa buza kanisani always nimekuwa nikileta kero za usafiri huku kwetu...
2 Reactions
10 Replies
246 Views
Habari za jioni wadau, Dini inatumiwa kama kinga ya kuzuia watu wasiseme maovu ya viongozi na wanasisasa. Ukisema wenye dini yao wanakuja juu unamsema huyu mbona yule hukumsema. Nenda kwenye...
1 Reactions
4 Replies
91 Views
Nakumbuka kipindi Cha uchaguzi walisema kuwa vitambulisho vya nida ndio vitakuwa ni kadi za bima au niliwanotes vibaya Basi tunaomba hili waliweke sawa kati ya elimu na huduma ya Afya Bora zaidi...
1 Reactions
11 Replies
121 Views
Hii habari nimeikota huko Facebook inasemekana kwamba huko mwenge kuna sanduku la Ajabu limeokotwa baada ya kutelekezwa stand hapo kwa siku tatu. Je ni kweli muliopo hapo mwenge? Ngoja niwawekee...
1 Reactions
1 Replies
80 Views
Kwa miaka kadhaa tangu nijiunge na Jukwaa hili sijawahi kukutana na mtu kwenye jamii yangu anayetumia Jukwaa hili Kiufupi hawajuhi kama Tanzania tuna social media yetu inayofanya kazi kama...
2 Reactions
6 Replies
126 Views
Elly David m Tanzania anaeishi nchini Canada anasema asilimia kubwa ya vijana wa ki Tanzania na kutoka sehemu mbalimbali barani Africa wanaopelekwa na wazazi wao kusoma Marekani, Canada na Ulaya...
6 Reactions
37 Replies
612 Views
Hii ndiyo imani sahihi juu ya Mungu. Yeyote mwenye kudai kuwa Mungu yupo zaidi ya mmoja huyo ni Mshirikina. Yeyote mwenye kudai Mungu ana mwana (Mtoto) ,jua kuwa huyo mtu amelaaniwa na...
9 Reactions
169 Replies
1K Views
Mahakama ya Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara imemhukumu kijana mwenye umri wa miaka 16 adhabu ya viboko sita baada ya kupatikana na hatia ya kosa la ulawiti, huku hukumu hiyo ikizua mitazamo...
1 Reactions
6 Replies
133 Views
Nukuu hii imechapishwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Ubalozi wa Marekani Tanzania. "Kuhusu misaada ya nje, hatutoi fedha tu; pia tunalenga kupata matokeo.” — Waziri wa Mambo ya Nje Marekani...
0 Reactions
0 Replies
53 Views
Wengi wetu humu tumo kwa ajili ya kutafta attention. (subconsciously kila mtu hupenda kuonekana) Binafsi napenda kuwa the center of attention. Sikupata attention, growing up. Sio kwamba wazazi...
16 Reactions
93 Replies
779 Views
Kwa akili ya kawaida mnapokuwa na mgogoro mnatafuta sababu za mgogoro harafu ndo mnakubaliana kuutatua huo mgogoro , Hapo ili kupata suruhu huwa tunatafuta mtu watatu ambaye atakaa katikati...
1 Reactions
3 Replies
105 Views
Najua mahindi yanalimwa uko USA,ULAYA na ASIA
11 Reactions
137 Replies
2K Views
NB: Nina Akili Ndogo Sana. Mgambo (askari wa akiba) anajitolea kufanya operations pamoja na Polisi sometimes usiku wa manane ila Polisi analipwa mshahara na akizeeka anapewa pension mgambo...
2 Reactions
18 Replies
159 Views
Jana mishale ya saa moja asubuhi yalijitokeza matumizi ya dharula nyumbani kwangu bahati mbaya sikua na cash ya kutosha kuweka mambo sawa. Nikasema ngoja niende kwa wakala kutoa hela. Nikabeba na...
10 Reactions
94 Replies
827 Views
Wabongo tunapenda sana kujipa vitengo na hekaheka zisizo na msingi. Imagine mwanadada anajipa kazi ya kutusomea password halafu abiria tunaacha kila kitu tunabaki kusikilizia kwa makani...
4 Reactions
8 Replies
230 Views
  • Redirect
Ninapotofautiana na baadhi yenu hapa wengi ni kiwango kikubwa cha Unafiki, Chuki na kuendeshwa na Mihemko tu. Sasa kama leo baada ya kujaa Mfumoni tumebadilika ghafla na kusema alikuwa Mgonjwa wa...
2 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom