Kumbukumbu la Torati 14:22
[22]Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka.
Thou shalt truly tithe all the increase of thy seed...
Jitahidi Usome Mpaka Mwisho
✅Unatoa milioni 3+ na mtaaluma wa shule kitu pekee anaonyesha kwao ni best ni A+ tena ambazo zimetokana na remedial za kutosha , makambi ,speed test nyingi jua...
Mamlaka zinazohusika zifuatilie Bar hiyo wanauza bia ambazo zimeisha expire na ziko nyingi wanasingizia kwamba bia huwa haziharibiki...
binafsi nimeishaenda zaidi ya mara tatu unakuta bia kama...
Wakazi wa Mtaa wa Gonga, Majumba Sita, Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam tuchoshwa na usumbufu unaosababishwa na kibanda kinachouza pombe hadi nyakati za asubuhi, huku muziki wa sauti ya juu...
Ni dhambi kuchora tattoo kwenye mwili
Maandiko katika kitabu cha Mambo ya Walawi 19: 28: “Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala MSIANDIKE ALAMA MIILINI MWENU...
Habari za wakti huu ndugu zangu wa BRELA
Kwanza kabisa niwaulize hivi Call centre yenu iko Busy sana au wafanyakazi wachache au vyote kwa pamoja maana kasi yenu ya kupokea simu na kushughulikia...
Ukiangalia katika biblia hakuna tukio la Yesu amefumba macho anaomba eti mtu flani apone.
Mara nyingi alitamka tu neno katika mazungumzo yake sio maombi na kitu kikatokea.
Au akakemea tu hali...
Jambo wakuu!
Baada ya kusoma maandiko mengi sehemu mbalimbali yanayohusu ununuzi wa HISA,sasa ninajaribu kufikri kwa kina ili niweze kufanya maamuzi.
Ninaomba kueleweshwa kwa ufasaha na uaminifu...
Naomba taa eneo la Mwabene - Mbeya, Barabara ya Teku, kuna matukio kadhaa ya ajali yanayosababisha na kukosekana kwa huduma ya taa.
TARURA Mbeya wafunge taa pale, namaanisha taa za kuongoza...
Barabara ya Pugu - Chanika ni mbovu sana imejaa mashimo imekuwa chanzo cha ajali mara kwa mara, natoa wito kwa wanaohusika watimize wajibu wao kusaidia Wananchi.
Habari za wakati huu wanajukwaa.
Bila kupoteza muda wiki iliyopita nilijiunga kifurushi cha mbps 10 unlimited kwenye router ya airtel smartbox 5g kwa tsh 70k, Mwanzo speed ilikuwa really 10mb per...
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inapenda kuwakumbusha Wamiliki, Wakurugenzi na Makatibu wa Kampuni kuwa huduma ya uwasilishaji wa taarifa ya Mizania ya mwaka na hesabu za Kampuni...
Leo, Agosti 05, 2026, Ubalozi wa Ujerumani nchini Tanzania umetembelea ofisi za JamiiAfrica jijini Dar katika ziara ya kikazi na kuimarisha mashirikiano.
Ujumbe wa Ubalozi huo uliongozwa na Kaimu...
Mkoa: Dar es Salaam
Wilaya ya Ilala
Kata ya Majohe
Mtaa wa Majumba Sita.
Hili daraja maji halipitishi vizuri, kamvua kadogo tu maji yanakuja kwenye nyumba za watu yanajaa mkandarasi hajajenga...
Mungu akijalia naweza fika uko miezi minne ijayo tena naenda kwa njia halali sio janja janja ila lengo langu la siri kubaki uko (sehemu tutakazotembelea ni UJERUMAN, ITALY, SWIDEN, NA FINLAND ila...
1) Road license,nilijikuta nadaiwa kwenye TIN yangu hela nyingi, kwa Magari ambayo niliyauza kama scraper/ watu ambao sikuweza kupata Mawasiliano nao hawakuhamisha umiliki wa magari hayo, nilitoa...
Maisha ya Binadamu ni mafupi sana,kila kiumbe chenye uhai kitaonja umauti,hakuna atakaye ishi milele,walikuwepo watu kabla yetu na watakuja wengine baada yetu,
Wapo watu walioifanya hii Dunia kua...
Sekta ya vinywaji vya kilevi ya Tanzania inakabiliwa na usumbufu katika soko la Rwanda baada ya mamlaka za udhibiti nchini Kigali kusitisha kwa muda uagizaji wa bidhaa na kuagiza kurejeshwa sokoni...
Kuna hili sekeseke la HALMASHAURI kupima na kuuza viwanja sehemu mbalimbali za nchi. Viwanja hivi vinauzwa kupitia mifumo mbalimbali ikiwemo Tausi.
Ni kweli viwanja hivi vimepimwa lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.