TANAPA tupo Nane nane- Njiro

TANAPA tupo Nane nane- Njiro

TANAPA

Govt Institution
Joined
Jul 6, 2026
Posts
10
Reaction score
24
Karibu utembelee Banda la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) katika Viwanja vya Nanenane Njiro, jijini Arusha yanapofanyika maonesho ya 32ya Kilimo maarufu kama NaneNane yakiwa na Kauli mbiu isemayo "Tambua Soko; Ongeza Tija kutekeleza Dira 2050"

Ndani ya banda letu utapata elimu ya Uhifadhi, Utalii pamoja na fursa za kede kede za Uwekezaji katika Hifadhi za Taifa.

Aidha, tutajifunza pamoja mchango wa Hifadhi za Taifa katika maendeleo na ukuaji wa sekta ya Kilimo na Umwagiliaji . Namna vyanzo vya maji vinavyotunzwa ambayo kwa kiasi kikubwa huanzia katika maeneo ya Hifadhi.

b7fe90a4-2834-40ad-83d8-b3a4e416fe56.JPG
1605faa2-ba9a-4aee-b18e-f73da26d53c6.JPG
e4f154f2-9173-4ce3-95e1-9c0d70f0e38c.JPG
5ce8f40a-2266-43ef-96dd-ddd97811e6da.JPG
 
Back
Top Bottom