Hospitali ya Kaliua U
uongozi ni mbovu, viongozi hawasomi mapato na matumizi tangu mwezi wa 4. 2025 hadi leo, wala hakuna kikao cha hospitali kwa kipindi hicho
Watumishi hawana morality na kazi...
Wafanyakazi wa Kampuni ya Namera Group of Industries (T) LTD kilichopo Gongolamboto, Dar es Salaam wamefanya mgomo na kukusanyika nje ya kiwanda hicho wakilalamikia hatua ya mwajiri wao...
Mara nyingi ukitokea kwenye disfunctional family huwa kuna mawili...
1: Unakuwa beast...
2: Unakuwa people pleaser..
Upande wangu niligeuka kuwa pleaser... Na aisee my whole childhood was gone...
Kamwe usiamini hadithi ya upande mmoja. Daima huwa na kurasa zilizokosekana.
Watu wengi wamekuwa wakihukumu watu kwa kutumia upande mmoja wa hadithi, bila kujali ni kwa namna gani wanaumiza...
Tunatoa wito kwa Uongozi wa KCMC, Kanisa pamoja na Serikali kusikiliza kilio cha wagonjwa na wananchi wanaotegemea huduma za hospitali hii muhimu.
KCMC imejijengea heshima kubwa kwa kutoa huduma...
Kuna wakati tunajisahau sana na kufikiri Mungu hajajibu mambo tumuombayo ila Mungu hujibu kipekee sana. Unaweza ukamuomba Mungu fedha Mungu akakapa uhai, Afya, akakuondolea mikosi mabalaa.
Tatizo...
Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa mbalimbali za uwekezaji katika sekta za kilimo na ufugaji badala ya kusubiri na kuacha fursa hizo zikakamatwa na...
KUONGEZEKA KWA AJALI, NANI ALAUMIWE?
Kwanza natoa pole kwa ndugu na jamaa waliopoteza ndugu zao kupitia ajali za barabarani huku nukitambu kiasi gani watoto wamebaki yatima, wajane na pia wazazi...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), ameiagiza Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Askari wa Uhifadhi wilayani Karagwe...
Baada ya kusogea na kuhamia nje ya mji kidogo nimeishi kwa amani na furaha sana , eneo langu ni almost kama heka moja hivi ,eneo nililojenga nyumba pako jirani na mtu mwingine, ujirani huo ndio...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) imeendelea na zoezi la ufungaji wa Pampu mpya katika mtambo wa Uzalishaji maji Ruvu Juu, zenye lengo la kuimarisha uzalishaji na...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) imeendelea na zoezi la ufungaji wa Pampu mpya katika mtambo wa Uzalishaji maji Ruvu Juu, zenye lengo la kuimarisha uzalishaji na...
Siku ya tatu leo nipo Tanzania. Sasa leo naondoka kuelekea Arusha . Kwa muda ntakaoondoka natagemea kufika Arusha saa 8 Usiku kuwa Karatu. Nataka enda Ngorongoro na Serengeti Weekend hii
Swali...
Mtoto hana hata Wiki na hajui duniani kupoje kama kuna Mapopoma (Wapumbavu) au hapana, ila tayari hadi leo amechangiwa Shilingi za Kitanzania Milioni 780 Hela ambayo nina uhakika kuwa 98% ya...
Tukio linalodaiwa kutokea katika Kijiji cha Nkololo, wilayani Bariadi, mkoani Simiyu, limezua mjadala mkubwa baada ya video/Picha inayomuonesha dereva wa bodaboda akiwa amebeba gunia la maharagwe...
Habari za leo? Sisi ni wakazi wa Sanawari, Arusha mtaa wa Moivo. Tunaomba utusaidie kupaza sauti ili ndugu zake wapatikane. Huyu ni jirani yetu, ameuawa kwa kuchomwa kisu na mkewe juzi usiku baada...
Mwanamume mwenye umri wa miaka 26 nchini Wales amekamatwa baada ya mamlaka kusema alipanda juu ya paa la hospitali akiwa amevaa mavazi yanayofanana na “Grim Reaper” (Mtoa Roho) na akasimama kimya...
Suala la kadi za Mwendokasi now zimekuwa kero hazipatikani, raia wengi wana uhitaji nazo, Matumaini yangu kama JamiiForums watalizungumzia naamini mamlaka husika litalifanyia kazi kwa wakati🙏...
Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza inaendelea kusisitiza kuwa haipingi maendeleo wala uendelezaji wa eneo la Sinza. Hata hivyo, tunaamini mchakato huu unapaswa kufanyika kwa kuzingatia sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.