Watu watano wamefariki na wengine wanane wamejeruhiwa baada ya basi dogo aina ya Toyota Coaster kuacha barabara na kutumbukia bondeni katika eneo la Vuga, Wilaya ya Lushoto, Mkoa wa Tanga.
Ajali...
Kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Sefu Musa amefariki dunia baada ya kudaiwa kuuawa na askari watatu katika eneo la Ngorongoro mkoani Arusha, baada ya yeye na wenzake kutuhumiwa kuwa ni...
1. Nianze hii sledi pendwa kwa kukupongeza RC Chalamila kwa hatua ya kurejesha mabasi ya mikoani katika eneo la Mbezi Magufuli. Ni hatua nzuri katika kupunguza msongamano na usumbufu kwa wakazi wa...
Naaam ni alfajiri safari inaanza,,,gari ishakula nundu ina ambaa ambaa mitaa ya ''Port access'',,,,siku hizi mnaita Mandela road...chombo inapita mitaa ya Ubungo inakata kushoto,,,,kipindi hicho...
Huu hapa uchambuzi wa Mdau kuhusu ripoti ya CAG akidai Tsh. Bilioni 151 zilizozidi kwenye ujenzi wa Uwanja wa Arusha zingeweza kujenga Barabara ya lami Kilometa 151
Ripoti ya CAG: CAG: Mradi wa...
Hakuna kundi linaloteseka kama wafanyakazi wa serikali. Faraja yao kuu ni weekendi na public holidays. Ila masela wengine ikifika jumatatu ni mwendo wa kula tungi tu hawana stress za maisha. Ila...
Mkandarasi Owden Mwalyambi wa kampuni ya Ujenzi ya Ruhama Tripple Three Junior Engineering iliyejenga barabara ya Kawajense - Ugala - Mnyamasi iliyoko mkoa wa Katavi amewaangukia wadau mbalimbali...
Leo Julai 12, 2026 kulitokea changamoto kwenye miundombinu ya JamiiForums (hardware malfunction) na hivyo kupelekea kutopatikana kwa huduma kwa takribani saa 3.
Hata hivyo, kasoro hiyo...
Mambo manne (4) yanayotokea wakati wa Ngono.
a. Kukidhi matamanio au kujifurahisha (Satisfying desires)
b. Kutengeneza muunganiko au mfanano ( To create bond)
c. Kuchangia nishati au nguvu ya...
Chukulia mfano, mchakachuaji ana kiwanda bubu cha kutengeneza pombe feki.
Je hawezi kwenda dukani kununua chupa original au na kubandua hio stika kisha kumpa mtaalamu wa mambo ya printing...
Wakati wa kazi zinazoendelea sasa za kupanua barabara ya eneo la Darajani, Zanzibar, wakandarasi wamechimba ardhini na kuligundua daraja la zamani lililokuwa limefukiwa kwa miaka mingi.
Chini ya...
SIFA KUU ZA MWANAMKE HIGH CLASS NI HIZI!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Ni kawaida kwa vijana wasiokuwa na elimu ya sosholojia na saikolojia kubabaishwa na mikogo, mbwembwe za kila mwanamke...
Ili swala la malalamiko idara ya polisi lijaanza leo ila lilikuwa mda tu.
Polisi ni wezi na matapeli.
Hapa JF mtakuwa mashuuda na malalamiko.
Kwa nini ukiwa na kesi au wamekukamata wanachukua...
Mambo vipi wakuu?
Kuna sehemu bhana nilikuwa napata breakfast asubuhi hii mara pah wakaja wasichana wawili kwenye meza niliyokaa wakaa wakanilia buyu hawakutoa ata salamu na mi nikapiga kimya...
Kwa wenzetu ambao wapenzi wenu ni Wazungu au Wachina na mnaishi nao pamoja au kufanya nao kazi, wanapougua huwa mnawapeleka kutibiwa katika hospitali zipi?
Waafrika, Waarabu na Wahindi huwa...
Hakuna haja ya kuunda tume wala kamati
Hizi ni action zinazotakiwa kuchukuliwa
1. Zuia machawa katika chama
2. Rudisha mamlaka kwa wanachama wa chini ( wananchi), mambo ya watu wachache kukata...
Serikali imewapa siku saba wazalishaji wa saruji nchini kuwasilisha mapendekezo ya namna ya kukabiliana na changamoto ya kupanda kwa bei na upatikanaji wa bidhaa hiyo katika soko.
Magizo hayo...