Kutokana na kuongezeka kwa kasi ya uwekezaji katika shughuli za kuongeza thamani madini nchini na kujifungamanisha kwake na sekta nyingine za uchumi, Sekta ya Madini imeendelea kuweka msingi...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametamka kuwa lazima wairejeshe Dar es Salaam yenye hadhi, heshima na kwamba kila kitu kikae mahali pake.
Kwa mujibu wa Chalamila, hali ya uholela...
CHADEMA faces backlash over 'naive' stance on Tanzania-DRC relations
DAR ES SALAAM, Tanzania
Tanzania’s leading opposition party CHADEMA faces sharp criticism after Vice Chairman John Heche...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema licha ya Serikali kujenga Bandari ya Kwala bado Jiji la Dar es Salaam sehemu nyingi kumegeuzwa kuwa bandari...
Ushauri uliotolewa kwamba bandari kavu ziondolewe katikati ya Dar es Salaam na shughuli za kuhifadhi pamoja na kusambaza mizigo zielekezwe zaidi katika Bandari Kavu ya Kwala, mkoani Pwani...
Karibu vituo vyote vya mabasi madogo ya abiria (maarufu kama daladala) katika Manispaa ya Morogoro, ni kawaida kukutana na wafanyabiashara wadogo (wamachinga) wakitembeza bidhaa zao mikononi...
Unapofika kwenye baadhi ya masoko katika Manispaa ya Morogoro ni kama mahame au yamegeuka kuwa mahame yasiyo na uhai wa kibiashara uliotarajiwa. Badala kusikika kwa kelele za wanunuzi wakibishania...
Salaam;
Hivi karibuni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh Amos Makalla ametoa maagizo ya kuwataka wamachinga waliopanga bidhaa zao barabarani kuondoka mara moja katika maeneo hayo.
Maagizo haya...
Machinga wapo kila pahala
Dar hapo wanapanga bidhaa barabarani na Mwanza Wapo hapo round about Nyerere road
Hizi ni sehemu hatarishi
Unakuta kariakoo mtu kapanga nyanya na bamia, makele yasiyo...
Kesi ya kupinga tozo kwa watumiaji wa Daraja la Julius Kambarage Nyerere lililoko Kigamboni imetajwa leo kwa ajili ya maelekezo ya mahakama, huku Serikali ikiomba kuongezewa muda zaidi wa...
Habari wana jamii
Ninaomba kwa anaefaham anijuze utaratibu wa kuanzisha Community based organisation (CBO) wilaya, tayari tumesha andaa katiba pamoja na muhtasari wa kikao hivyo tunahitaji kufaham...
Mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu, nilikopa mkopo wa mwaka mmoja benki ya CRDB.Nikiwa mtumishi wa serikali niliruhusu makato kwenye mshahara wangu moja kwa moja.Makato tulikubaliana yaanze mwezi...
PICHA: Mnyama Nyegere
PICHA: Mtu aliyedhuriwa na mnyama Nyegere
PICHA: Nyegere akipambana na Simba
Nyegere ni moja kati ya wanyama wenye wivu sana hapa duniani. Chakula chake kikubwa ni...
Wananzengo kama jina la uzi wetu unavyojieleza hapo juu.
Geographia ya mkoa wa Pwani kuingiliana na mkoa wa Dar es salaam, pia kutanuka kwa miji na uwingi wa watu. Hii imepelekea baadhi ya maeneo...
Kuna tofauti muhimu: Tupac aliuawa mwaka 1996, lakini kesi ya jinai haikuanza kusikilizwa hadi Agosti 2026. Mtu aliyeshtakiwa, Duane “Keffe D” Davis, alikamatwa mwaka 2023—takribani miaka 27 baada...
Shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, linatarajiwa kuendelea kusikilizwa leo, Jumatatu, tarehe 10 Agosti 2026, kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Kesi hiyo inasikilizwa katika...
Hiki kitu huwa najiuliza sana na nimekutana na hii changamoto vituo vingi sana hasa vya serikali yaan unatibiwa lakini unacho toka nacho ni dawa basi lakini taarifa zingine za maandishi wanabaki...
Ninasubiri mafao yangu kwa mwezi mmoja na wiki mbili hadi leo bila kuyapokea.
Tarehe 5 Agosti 2026, nilifika NSSF Ilala Boma kufuatilia suala hilo, lakini nikaelezwa kuwa kuna tatizo la mtandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.