Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yaani nao hupambana kulipia kodi,mavazi,simu usafiri au biashara,je nao husafa kubembeleza kupata unyumba kama sisi wanaume?
1 Reactions
9 Replies
90 Views
Ni zipi simulizi,riwaya hadithi ambazo umewahi kuzisoma hapa Jf? Nipe Top ten yako au Top five ya simulizi bora kabisa hapa JF
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari ambae amefanikiwa kutuma wazo lake kwenye mfumo wa TRA INNOVATION PORTAL naomba anielekeze jinsi ya kutuma wazo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Honla Kwanza ameanza kulalia kwake kuwa hali ni mbaya ya kiuchumi pili kawapongeza azam tv kwa utashi na muono wao wa uongozi mzuri wa vipindi vyao” nyama nyama Akahoji kuwa elf 7 mara 4= 28...
3 Reactions
43 Replies
817 Views
Msemo huo una ukweli mchungu sana kuhusu maisha! Kuku ana kila vigezo vya kuruka na kufika mbali—ana mabawa, ana manyoya, na ana mwili unaoweza kuinuka—lakini amechagua kubaki chini akitafuna...
2 Reactions
10 Replies
96 Views
Kuna wakati huwa nahisi Tajiri M ,Timu S na viongozi wake wanapitia kipindi kigumu sana ambacho wanashindwa kuweka wazi kila kitu . Kulingana na forbes Tajiri M ni tajiri namba 1 Nchi T kwa...
11 Reactions
50 Replies
753 Views
Vijana wengi tuna ndoto kubwa, lakini tatizo si kukosa uwezo wa kuzitimiza. Tatizo ni kuogopa maoni ya watu. Unaweza kuwa na wazo zuri, lakini ukianza kulieleza watu wakakucheka. Unaweza kuanza...
8 Reactions
10 Replies
131 Views
Kosa la Mwanamke Anapopenda Ni Nini? Kuna mtoa mada juzi kasema kwamba dada yake alikuwa in love na mshikaji fulani na mwisho wa siku yule jamaa akamtapeli ikiwemo kadi yake ya bank, na kumuacha...
15 Reactions
110 Replies
913 Views
Anonymous
Wananchi tunaomba mamlaka husika kutatua huduma katika Hospitali ya Shree Hari iliyopo Mwanza (zamani ikijulikana kama Hindu Mandal Mwanza Branch), kutokana na malalamiko ya utendaji wa huduma na...
1 Reactions
4 Replies
157 Views
Wanasema ukitaka kuficha kitu kwa mbongo ni weka kwenye maandishi, Na kwamba kuna wengi wanatamani sana kuongeza maarifa ila kuna changamoto hizi wanapata, - kukosa muda wa kusoma vitabu. -...
2 Reactions
4 Replies
82 Views
https://www.youtube.com/shorts/O-YCqLell7w?feature=share Afu angalia wachina wa kale...
0 Reactions
1 Replies
52 Views
Elizabeth Koki Musyoki alikuwa mama mwenye umri wa miaka 34, wakili wa Kenya aliyefanya vizuri sana katika kazi yake, mshauri wa masuala ya sheria za kampuni, pamoja na mshauri wa rasilimali watu...
10 Reactions
22 Replies
672 Views
Ukiangalia picha iliyo hapo chini, utaona mstari mwekundu uliokatishwa ukimtenga Tunisia chini kabisa akiwa na alama 0 na idadi ya mabao -10 huko kwenye mashindano ya kombe la Dunia. Ki-soka...
1 Reactions
4 Replies
194 Views
Kwa ujio wa AI na robots kuchukua kazi nyingi za watu, je mfaidika atakua nani ? Ni muuza robots nafikiri, Na watu wakikosa kazi, watapata fedha kupitia njia gani ? Hili ni swali la msingi sana...
2 Reactions
1 Replies
87 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyoandikwa ~ Mwezi wa 4 hatuna maji Kishiri - Mwanza, tunanunua dumu Sh 1,000, tunapewa sababu...
0 Reactions
1 Replies
64 Views
Nimekutana na video ya mama mmoja wa Kizungu ambaye ameamua kuongea ukweli mchungu na wa wazi kabisa kuhusu kile kinachowasukuma baadhi ya watu weupe (wazungu) kuwachukia watu weusi. Mama huyu...
5 Reactions
8 Replies
243 Views
Suala la speed limit Tanzania lina miaka mingi na experience yangu speed limit ipo karibu Kila nchi, na hata upana wa Barbara zetu zinazojengwa tanzania bado ukitazama vyema ni kama zimepitwa na...
1 Reactions
3 Replies
62 Views
NARUDIA; VIJANA MAISHA NI POLEPOLE, HUO NDIO MWENDO. USIYASUBIRI. YAFUATE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Haba na haba hujaza kibaba. Bandua bandua humanize gogo. Hizo ni hekima za wahenga...
9 Reactions
50 Replies
476 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imemjibu Mdau aliyeandika ~ Wakazi wa Nyamhongolo, tunapitia shida kubwa ya maji, ni wiki ya 3 maji hayatoki na MWAUWASA hatuambiwi...
0 Reactions
1 Replies
60 Views
Back
Top Bottom