Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

HUDUMA ZA SERIKALI ONLINE* TUNAKUFANYIA KAZI UKIWA NYUMBANI - HARAKA NA KWA UAMINIFU Umechoka kusimama foleni? Acha sisi tukufanyie! HUDUMA TUNAZOTOA: 1. Vitambulisho na Sera za Raia Cheti...
1 Reactions
1 Replies
260 Views
Maajabu Saba ya Dunia ya Kale ni orodha ya majengo na sanamu za kustaajabisha zilizojengwa na wanadamu katika kipindi cha kale kuzunguka Bahari ya Mediterania. Kati ya maajabu haya yote, ni...
3 Reactions
1 Replies
122 Views
Baada ya kuingia duka la Mangi nimekutana na wine ya Tshs 1000 ilibidi niulize bei mara mbilimbili. Nimependa strategy ya hawa jamaa, kutokana na ushindani mkubwa sokoni mengi yatajitokeza...
7 Reactions
31 Replies
445 Views
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) imetoa mapendekezo kwa Serikali kutumia mamlaka ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kuangalia uwezekano wa kuondoa mahakamani kesi ya uhaini...
1 Reactions
1 Replies
238 Views
Soma hii story nimeikuta mahali nikaona niwaletee muone wahindi walivyo!https://www.facebook.com/rameshneedsjustice?ft
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Dj Choka kwa sasa anasumbuliwa na figo, hivyo anahitajika mara kwa mara kufanya dialysis kusudi aweze kuishi. Kumchangia afanyiwe dialysis ni jambo zuri sana pia ni thawabu kwa Mwenyezi Mungu...
15 Reactions
74 Replies
2K Views
Tanzania inaingia hatua mpya katika uchimbaji na uongezaji thamani wa Madini Tembo kupitia Mradi wa Fungoni–Kigamboni na Tajiri, huku ujenzi wa kiwanda cha uchakataji ukiendelea Tanga. Mradi huo...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Katika mazungumzo yao, Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimesisitiza umuhimu wa kuimarisha biashara na uwekezaji kwa kuondoa vikwazo visivyo vya lazima, kuboresha huduma na...
0 Reactions
0 Replies
40 Views
Katika utu uzima wangu sikuwahi kuona mwanaume akifikiri kuwa makalio yake ni tija Lakini kwa huyu kijana imekuwa tofauti sana Sijui anafanya haya kwa lengo gani kwasababu kama ni mazoezi...
2 Reactions
8 Replies
167 Views
Kumekuwa na taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari kuhusu madai ya uchache wa miundombinu ya vyoo katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli. Taarifa hizo...
0 Reactions
2 Replies
98 Views
TANZANIA NA DRC ZAZIDI KUIMARISHA BIASHARA KUPITIA USHOROBA WA KATI Takwimu zinaonesha kuwa Tanzania imefanya biashara yenye thamani ya Shilingi bilioni 794 na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
0 Reactions
0 Replies
48 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini Bw. Ndiame Diop...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Sikumbuki kuona mwanaume yeyote aliyefanikiwa sana iwe kwenye siasa, biashara, michezo, Sanaa n.k ambaye ameoa mwanamke mwenye makalio makubwa ila ajabu ni kwamba wanawake wenye makalio makubwa...
20 Reactions
175 Replies
2K Views
Mwanasheria Peter Michael Madeleka amefunguliwa kesi ya jinai yenye jumla ya mashtaka matano ya kudharau Mahakama, yakihusishwa na kauli na hotuba alizodaiwa kuzitoa na kuzisambaza kupitia...
0 Reactions
2 Replies
142 Views
Kua wakili na mwana sheria wa Chadema ni sawa kumtetea swala mbele ya kundi la simba ingawaje unaweza kumtetea. Kuitetea Chadema kwenye kesi zake ni zaidi ya bomu ila nisehemu nzuri yakuonesha...
0 Reactions
1 Replies
34 Views
Guys Hii ni maajabu . sasa hili taifa ni familia ya paka kila mtu and ndevu. Je hili litangazo kuwajuisha umma kwamba tarehe 25 August 2026 mapumziko ya kitaifa hayo mamlaka wametoa wapi. Kwa...
0 Reactions
5 Replies
149 Views
Kamishna wa Ardhi Msaidizi - Dodoma Godfrey Mwamsojo amesema mgogoro wa Kiwanja Plot no 42 Kitalu B kilichopo katika Mtaa wa Image, Kata Kikuyu Kusini (South extension) Jijini Dodoma ni kwamba...
0 Reactions
0 Replies
124 Views
TAARIFA KWA UMMA Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga inawatafuta ndugu au jamaa wa mtoto huyu wa kiume anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 5, ambaye hajafahamika jina lake. Mtoto huyo...
3 Reactions
7 Replies
175 Views
Serikali ya Tanzania imewapa wazalishaji wa saruji muda wa siku nane kuongeza usambazaji na kushusha bei, baada ya mfuko wa saruji wa kilo 50 kufikia hadi shilingi 26,000 pesa za Tanzania sawa na...
2 Reactions
18 Replies
366 Views
Back
Top Bottom