Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hili kundi lina hit na classic songs kama celebration, cherish na fresh Lakini ukiusikiliza wimbo wa Cherish utakubaliana nami ni aina ya wimbo ambao unaweza kusikilizwa na mtu wa miaka ya 80...
5 Reactions
13 Replies
215 Views
HATARI: SIRI ZILIZOFICHWA ZINAZOENDELEA KUBADILI BIBLIA :- LAZIMA USOME IKIWA WEWE NI MWFUASI WA KWELI WA KRISTO Ni ushuhuda wa ajabu na wa kugusa sana. Tafadhali chukua muda wako na uusome hadi...
7 Reactions
50 Replies
2K Views
  • Redirect
NB: Nina Akili Ndogo Sana Kama rafiki yako wa maana sana alitangulia mbele za haki, jutahidi saana kuwasaidia watoto wake kuliko kulea watoto wa single mother ambaye anawasiliana kwa Siri na...
0 Reactions
– Replies
– Views
Hali ilivyo kituo cha mabasi yaendayo mkoani Magufuli Mbezi jijini Dar es Salaam. Hali hii ni baada ya kuingia siku ya pili tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, kutoa tamko la...
12 Reactions
30 Replies
953 Views
Baada ya agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Albert Chalamila, kutaka mabasi yote ya mkoa kuanzia na kumalizia safari zao katika Magufuli Bus Terminal, nadhani sasa ni muda muafaka kwa...
6 Reactions
8 Replies
134 Views
Anonymous
Wakazi wa Mongolandege tuna jambo flani, ujumbe huu ufike kwa Mamlaka ya Maji Safi kuna mabadiliko ya ladha ya maji tunayopata kwa sasa tofauti na kipindi cha nyuma, maji yamekuwa na kiwango...
1 Reactions
0 Replies
56 Views
Mkoa wa Dar es Salaam umeongoza kwa matumizi na idadi ya vifaa vya kujipima maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) vilivyosambazwa nchini mwaka 2025 huku zaidi ya vifaa 330,000 vikifikishwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
127 Views
Wake za watu tulizeni nyapu zenu kwa waume zenu, mnajirahusisha kwa vijana wadogo, wanawapelekea moto mnapagawa, waume zenu wakigundua vijana watu wanaingia kwenye matatizo makubwa. Nanyi vijana...
9 Reactions
15 Replies
272 Views
Majibizano kati ya Wakili Peter Madeleka na mwanaharakati Edgar Mwakalebela AKA Sativa Mei 20, 2025 kuhusu kushiriki Uchaguzi 👆 👇
1 Reactions
0 Replies
70 Views
Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP) utazinduliwa rasmi Jumamosi hii. Mradi huu wenye historia ya zaidi ya karne moja, ulioanza kufanyiwa tafiti tangu enzi za ukoloni...
2 Reactions
1 Replies
142 Views
Alikuwa na Miaka 6 Tu Aliposhambuliwa na Sokwe Waliomuacha na Majeraha Makubwa Usoni. Leo ni Bingwa wa Mieleka Barani Afrika. Anaitwa Dunia Sibomana, mzaliwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...
3 Reactions
1 Replies
74 Views
Mgombea Urais wa Upinzani, Brian Mundubile kutokea chama cha National Reconciliation Party for Unity and Prosperity’s (NRPUP), amesema kuwa chama tawala cha Rais anayemaliza muda wake, hakiwezi...
13 Reactions
101 Replies
2K Views
Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia...
0 Reactions
4 Replies
117 Views
Kuanzia leo asubuhi, mabasi yote yanayosafiri kwenda mikoa ya Kaskazini, ikiwemo Tanga, Kilimanjaro na Arusha, yameanza safari zake kutoka Mbezi Stand ya Magufuli. Kwa utaratibu huu, mabasi hayo...
2 Reactions
2 Replies
128 Views
Jambo moja gumu sana kwa hii jinsia yetu. Jambo linalobeba maumivu yasiyosemeka na yenye kusononesha sana mara nyingi likiakisi hofu za ndani kabisa za wanaume. Hofu hizi hugusa maeneo nyeti ya...
9 Reactions
97 Replies
929 Views
Taarifa Kwa wafuatiliaji wetu katika mtandao wa video ujulikanao kama YouTube. Tunapenda kuwajulisha yafuatayo. 1. YouTube channel ambayo hapo mwanzo ilijulikana kwa jina la Yesu Anajibu, kwa...
2 Reactions
21 Replies
194 Views
Baada ya kumsema mtu kwa mabaya akianza kung'ara wanaanza kukaa kimya Nimefatilia sana ile issue ya juma jux.. Ila nikajifunza kitu kimoja kikubwa sana, na hata mondi(japo simjubali) aliweza...
3 Reactions
7 Replies
134 Views
  • Redirect
NYOOSHA MAMBO,FOLENI ZIONDOKE MIJINI, INSHALLAH... -Shughuli zote za uhifadhi wa makasha ya mizigo au dry port ni vyema zote zikaamia kwala,ili jiji lipumue!...
0 Reactions
– Replies
– Views
Sawa ni marafiki zako ila sio lazima uende nao. Sawa ni ndugu zako ila sio lazima uungane nao.
1 Reactions
2 Replies
45 Views
ULE MWISHO UTAKAPOFIKA Anaandika Robert Heriel Mtibeli Nilipoanza kuhesabu siku zangu zilizobaki, niligundua kwamba nilikuwa nimeishi maisha yangu yote nikihesabu siku nilizokuwa nazo. Sasa...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Back
Top Bottom