kushituka ndotoni

kushituka ndotoni

Psalm_23

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2026
Posts
1,238
Reaction score
2,186
Hellow Great Thinker...
The LORD is good...

Kuna ndoto ukiota ukiamka unajikuta mapigo ya moyo yanaenda kasi sana, kuna kuwa na uhusiano gani kati ya ndoto na mapigo ya moyo baada ya kushituka kutoka usingizini...

...
 
Kwanza unapaswa utambue ndoto ile ni ya aina gan ya M-ngu, shetani, au ya akili.
Ndo ujue uhusiano uliopo.
 
Ubongo unapokuwa unajipa wenyewe wasiwasi unafanya damu iende kwa kasi kwenye moyo ndo maana ukija kuamka mapigo yapo juu kama jenereta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom