Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Leo Oktoba Mosi ni Siku ya Kahawa Duniani na kwa Tanzania ina maana kubwa sana. Umuhimu wake kwa Soko la Ndani: 1. Kutoka Kulima kwa Wazungu kwenda Kunywa kwa Watanzania Ukweli mchungu...
0 Reactions
1 Replies
45 Views
Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3...
0 Reactions
4 Replies
56 Views
  • Featured
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Mussa Mohamed Makame amsema, Gesi ya mitungi tunayotumia majumbani kwa sasa yote inatoka nje, bei yake hupanda kulingana na...
5 Reactions
73 Replies
1K Views
A port that can accommodate an 8,000-TEU vessel instead of a 4,000-TEU vessel has fundamentally different possibilities for regional trade. Tanzania is expanding the scale at which its maritime...
0 Reactions
1 Replies
15 Views
Kwa mujibu wa The Road Traffic (Drivers Licence Point System) Regulations, 2014, G.N. No. 109 of 2014, as amended by G.N. No. 420 of 2025, kosa la barabarani linaweza kukupunguzia pointi 1 au 3...
1 Reactions
1 Replies
23 Views
Apigia chapuo utekelezaji wa DIRA 2050 WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema bado kuna fursa nyingi za ushirikiano wa kiuchumi baina ya Taifa la Qatar na Tanzania ambazo zikitumiwa vizuri...
0 Reactions
0 Replies
12 Views
Binafsi unajisikia furaha sana... I kudhani kuna wa hivi basi utakuwa Umekosea njia Ila hu upepo na uvumi umetufungua sana, kumbe mali za humu ni mbovu kiasi hiki?
0 Reactions
0 Replies
32 Views
1: Mfano sasa hivu binti hasemi anafanya umalaya, anasema ana danga, na akisema anadanga inasikika kikawaida kwa jamii kuliko akisema anafanya umalaya ila ni kitu kile kile. 2: Wazee wa...
3 Reactions
4 Replies
49 Views
Look, kabila gani? Kesho kuna rais wa nchi hapa hapa!
4 Reactions
8 Replies
178 Views
Anonymous
Wananchi wa eneo la Iduda, Jiji la Mbeya, hususan maeneo yanayozunguka Shule za Msingi na Sekondari Iduda, tunakabiliwa na tatizo kubwa la kukatika kwa umeme mara kwa mara. Kwa wastani, tunapata...
1 Reactions
1 Replies
206 Views
Bandari ya Dar es Salaam imefankiwa kuwa kinara Afrika Mashariki ikiipita rasmi Bandari ya Mombasa ya nchini Kenya katika viwango vipya vya ufanisi wa makontena duniani. Kulingana na ripoti mpya...
0 Reactions
1 Replies
34 Views
Kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi na malori uliotokea Septemba 28 na 29, 2026, madereva wengi hawakujua maana ya mfumo wa points (Drivers Licence Point System). Kwa mujibu wa Kifungu cha 31...
0 Reactions
0 Replies
78 Views
Wakazi wa Kigamboni wanatarajiwa kupunguza gharama za uondoshaji wa majitaka baada ya DAWASA kukamilisha ujenzi wa mitambo miwili midogo ya kuchakata majitaka katika Kata za Vijibweni na Gezaulole...
0 Reactions
0 Replies
16 Views
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU),Balozi Anda Filip, amewasili nchini Tanzania usiku wa kuamkia jana kwa ajili ya Kuhudhuria Mkutano wa 153 wa IPU unaotarajia kufanyika jijini Arusha...
1 Reactions
2 Replies
56 Views
Hello Great Thinker.... Namtafuta rafiki yangu humu, ...anapenda konyagi sana, alinambia atanipa(.....) kila mtoto ana baba yake. Mopak Nakuita Mopak uje kwa YESU Utubu.... Yeye ni mwenye...
2 Reactions
6 Replies
49 Views
Tuchulie mfano Kesi ya Ommy Dimpoz, Wanasema amedanganya bei ya gari. Mi najiuliza Ommy kanunia gari used, na bei ya gari used ni makubaliano kati ya muuzaji na mnunuzi. Naweza nikawa nina watu...
5 Reactions
26 Replies
332 Views
Quantum Wealth Fund Taasisi inayojinadi kujihusisha na uwekezaji kwenye soko la hisa la DSE kwa ushirikiano na Orbit Securities Limited, ni kweli imesajiliwa BRELA? Je inatambuliwa na mamlaka ya...
1 Reactions
5 Replies
49 Views
Life can give you 5 kids & take them all again when you are just watching. Life can also give you one child & allow you to grow old as you watch him grow. The same life can give you a beautiful...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ametoa wito kwa hospitali zote nchini kutoa rufaa mapema kwa wanawake wajawazito ili kuepusha vifo vinavyoweza kuzuilika endapo hatua za rufaa zitachukuliwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
Vituo vingi vya mafuta nchini vimepunguza bei ya mafuta, lakini nauli za daladala bado zimeendelea kuwa zilezile zilizopangwa wakati bei ya mafuta ilipopanda. Ikiwa ongezeko la awali la nauli...
1 Reactions
3 Replies
38 Views
Back
Top Bottom