Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 14,438
- 27,839
Kwa kukua kwa mitandao ya kijamii kumekuwa na content nyingi mitandaoni ambazo nyingi zimekuwa irrelevant kabisa.
Leo katika tafakari yangu likanijia wazo... Ni lini mara ya mwisho kutazama taarifa ya habari?
These days, tunaweza kuangalia taarifa lukuki na zenye makando kando mengi of which asilimia kubwa hazina depth kabisa, unakuta kichwa cha habari ni attention seeking ila ukisoma unakutana na kitu cha kawaida
Ikanifanya niwaze as to ni nini hasa tunafaidika na haya masimu?
Zamani watu walikuwa wanafanya kazi ngumu kujipatia kipato, ila siku hizi vijana anawazia kutengeneza trendi za mitandao na kukata mauno ili kupata likes mitandaoni.
Simu hazina maana kabisa, ni great sealers of joys and focus. Udaku na illerevant posts ndo zinaibia vijana dreams na focus za kufikia ndoto zao.
Hii ni kweli kabisa, mimi naona watu wa miaka ya 90 walio tawaliwa na vitabu waliweza kufanya makubwa sana kwasababu waliweza kutumia muda wao kwenye ujuzi, siku hizi ujuzi umekuwa polished kwa video ya dk10, yaani mtu ana fungua kavideo a naangalia then naye anajiita msomi kisa kapata summary ya short video.
Ndo maana tunakizazi cha kuigiza sana, vijana wa ata quick Island overnight success. Ila ndo hivyo vijana wanapotea, na simu imekuwa silaha ya kuwaangamiza.
Jamani sijui kama kuna mtu kanielewa? Hili janga ni kubwa sana, tunaanda vizazi vya ovyo, hamuuoni wanawake siku hizi wamepata fursa kuanika miili yao mitandaoni kusaka mabwana?
Kizazi hiki kinashawishiwa na wajinga wachache walio fanikiwa kwa kutokufanya kazi, mfano machawa wa mitandao, wanawapa madogo implication kuwa hata usipo soma unaweza kutajirika kwa kisifia wanaume wenzao, ni zama mbaya sana hizi.
Tunakoelekea ni kubaya sana, wenye kufanya kazi na kuachana na distraction za generation hii ndio watakao fanikiwa maana dunia nzima ni kama imelala